Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
polisi wetu wamenehemeshwa,damm, jamaa wanabambikia watu kesi ambazo si zao, mwizi wa kuku unakuta anafungwa kwa kukamatwa na bangi na kizibiti kinakuwepo,sasa itakuwa hole wetu wenye simu,yani anakusimamisha anakwambia nipe hela amekuta umepiga ama la ni juu yako wewe,ukibisha unaenda kituoni, kituoni kunajulikana, kuingia bure kutoka kwa hela.