Ukipewa Likizo ya mwezi 1 kuwa off Mariage, ni mambo/maisha yapi utakumbushia

Gugwe

Senior Member
Jul 25, 2011
122
54
kwa asilimia kubwa kwa walioko kwenye ndoa utamani na/au kukumbuka baadhi ya vipengele vya maisha walivyokuwa wakiishi wakati wakiwa bachelor, je ukipewa likizo ya mwezi mmoja kuwa off marriage ni mambo au maisha yapi ungependa kukumbushia?
-wengine walikuwa wakeshaji club sasa hawawezi tena

STRICTLY, KWA WALIOKO KWENYE NDOA TU
 
Dah! Wengine uko kwenye ndoa but in most cases waishi apart tokana na factors mbali mbali... hivo basi naona ni holiday tosha... Na wengine most ya mambo ulikua unafanya before marriage ambayo yalikua yanakufurahisha... unakua most bado wayafanya....
 
Mkipeana uhuru hayo yote hata hutayakumbuka....ooops kumbe wanandoa tu...sori
 
Kwakweli mimi nitakachofanya nikiwa off kwa mwezi mmoja ni kushinda kitandani the whole day! @least for one day !
 
Nitalala sana peke yangu kitandani hilo tu, spend some quality time alone
 
mnh sikujua ndoa ni jela namna hio,mpaka watu wanatamani kuwa off hata kwa mwezi mmoja...why get married if that is the case?lol
 
Mimi namalizia hiyo likizo sasa,angalien niliyofanya hapa JF,fuatilieni sred zangu.Likizo inaisha leo ,kesho j3 nipo kimya tuliiiiiiii!
 
WENGINE wameoa lakini wanaishi maisha ya kihuni kuliko ambao hawajaoa, wakitoka nyumbani asubuhi kwenda kazini hatarudi nyumbani mpaka saa nane mpaka saa tisa usiku akirudi yupo poa ( hajalewa, kapiga kama bia 18 au 20 hivi) anamademu kila kona, ukimpa likizo ya ndoa ya wiki moja atakufa kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom