Ukipewa kazi ya kutunuku vyeti hapa JF kwa uchangiaji wao utampa nani?

Usisahau pia anaongoza kwa ban nyingi kama zingekuwa suplimentary angeshadisco.
Nikipewa kazi ya kutunuku vyeti vya mchagiaji bora wa matusi katika majukwa mbali mbali hapa jf mwaka 2014 nitampa kahtaan.
 
Last edited by a moderator:
Join Date : 17th December 2014
Location : TANZANIA
Posts : 213
Rep Power : 85901081
Likes Received60
Likes Given0
 
Kiranga kamkimbia mtu anayeitwa Ishmael jaribu kuangalia alipo Ishmael kama Kiranga anafika

Huyo shy land hata miezi sita hana apewe tuzo ??

Kanuni yangu ni kutotaka tuzo wala kuogopa tusi. Daima kuwa mkweli kwa nafsi yangu.

Ishmael is a piece of foul mouthed individual who does not have the requisite culture to engage in debate with me.

Mimi sitaki shida za ujinga wa watu wanaotukana matusi ya nguoni.

Ishmael kanitukana na mpaka atakaponiomba msamaha na kuahidi kutorudia hana privilege ya kujibishana na mimi.

Watu wasio na ustaarabu nawapiga ignore list tu.

The ignore list is there for a reason, to be used. It is not ornamental.
 
alikwambia u prove matusi kwenye sayansi ukashindwa...!!!

Unakuja unajitetea hapa haya wamekusikia kwamba umemkimbia kwa ajili ya matusi sio hoja naona hata kummetion umeogopa

teh teh teh teh
 
Mshana jr
Mo11.
Mzizi mkavu.

Kiranga.
Miss chaga.
Wengine nitawata badae,ngoja kwanza nikapasi suti ya sikukuu.
 
mtoa threads ni mgeni humu ukiangalia profile yake amepataje kujua hayo kama siyo muongo

Ana ID kama tatu humu ndani (moja nimeisahau jina) yupo kwenye ban ndio kafungua hiyo, mgeni wiki tatu hajamalimaza anajua kila kitu na kumtania mara kutoa vyeo mnashindwa kumuelewa? mimi huwa sichangii chochote anachokitoa huyu jamaa zaidi ya kumshushua tangu nilipomgundua anafanya wote humu ndani hawana akili mjanja yeye.
 
Back
Top Bottom