The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,258
- 16,167
Ni Sawa kufikiri hivyo ila huenda amekimbiwa na mumewe au aliempa mimba amafariki kuna Sababu nyingi za huyu mama kutembea juani akiuza biashara na mtoto mgongoni,Punguza ufalaHuyo Mama wakati anapanua hayo mapaja yake, Si alijua kwamba yeye ni maskini?
Sasa kwa nini azae mtoto aje amtese juani akizungusha maandazi?
Maskini wanazaa watoto bila reasoning ndio maana wanakuja kutesa watoto tu.
Halafu wanakuja kutaka huruma.
Kumbe ni upumbavu wao tu!.