Ukipata mke mwaminifu na mnashirikiana kwenye maendeleo, mthamini sana...

Tatizo ni kwamba, kama vile wewe usivyo mkamilifu, hutopata mwanamke mkamilifu hata siku moja. Anaweza kuwa wazi kwako kwa kila kitu, mnachanga na kujiletea maendeleo vizuri tu, mnajienga lakini ukashangaa mke ni very controlling, yaani we kidume huna say kwa mkeo.

Its very unfortunate that you won't get a perfect match, coz you're not perfect.
 
Mkuu ndoa tayar?
 
N hatar sana Hawa dada zang n kama
Wakikuyu wa huko Kenya yan hawana
Huruma kabsa wanakuzka mzma mzma

Wenyewe wanajiita wajasiriamali, anaolewa na wewe kisha akiona hela zimeongezeka anakukatisha maisha mapema na kuwapa kaka zake waendeleze ukoo wao kwa jasho lako. Mie kuoa hawa mademu wa kichagga, wapare, wakurya, wanyakyusa, wa Arusha, wabondei (Tanga yote)...labda nilishwe sumu tu au kurogwa nao.
 
Ili upate mwanamke wa hivyo lazima na wewe uwe bora.
Sidhani kama kuwa bora ndio guarantee ya kupata mke mwema, honesty is very priceless these days!

Kupata mke mwema lazma huyo mke awe mkweli tangu awali na sikuhizi wengi hufake mwanzo ili wavae shela tu. Akishakuwa na pete baada ya mtoto wa kwanza tu anakufunulia makucha yake, unagundua kumbe ulioa msaliti, mnafiki, mchoyo na mshenzi utafanyaje hapo hata kama kidume uko njema?

Nachokiona wote Me na Ke ni lazma muwe wakweli ila mwanamke ni muhimu zaidi kuwa mkweli ili ndoa isiwe ya mateso.
 
Ndugu wa nini sasa nyumbani?

Kama ni kusalimia waje na kuondoka! Kama ni Msaada wasaidieni wakiwa huko huko kwao.

Lkn pia kama yeye mwanamke hataki ndugu wa mwanaume na yeye nduguze wasije kabisa.
Wa hivyo wengi hupendelea ndugu zao tu. Wa ukweni hawawataki kabisa, watalishwa marage hadi wakome
 
Kuna ndugu yangu ana mwanamke ambae wanashirikiana vizuri sana kwenye maendeleo tena mke akipata ela yoyote lazima amletee mume wake ili wakafanyie maendeleo,Na wamejenga majumba,ila anatatizo Moja kwamba hapendi ndugu wa mwanamume kabisa hadi wazazi Na hataki hata hao ndugu kukanyaga kwao Na hata Msaada mwanaume hutoa Msaada kwao kisiri!!
Huo ni ufala na huyo sio mwanamke wa kuowa
 
Tatizo ni kwamba, kama vile wewe usivyo mkamilifu, hutopata mwanamke mkamilifu hata siku moja. Anaweza kuwa wazi kwako kwa kila kitu, mnachanga na kujiletea maendeleo vizuri tu, mnajienga lakini ukashangaa mke ni very controlling, yaani we kidume huna say kwa mkeo.

Its very unfortunate that you won't get a perfect match, coz you're not perfect.
fact
 
Sidhani kama kuwa bora ndio guarantee ya kupata mke mwema, honesty is very priceless these days!

Kupata mke mwema lazma huyo mke awe mkweli tangu awali na sikuhizi wengi hufake mwanzo ili wavae shela tu. Akishakuwa na pete baada ya mtoto wa kwanza tu anakufunulia makucha yake, unagundua kumbe ulioa msaliti, mnafiki, mchoyo na mshenzi utafanyaje hapo hata kama kidume uko njema?

Nachokiona wote Me na Ke ni lazma muwe wakweli ila mwanamke ni muhimu zaidi kuwa mkweli ili ndoa isiwe ya mateso.
Wote lazima muwe wakweli. Sio mmoja awe mkweli zaidi na mwingine achanganye na uongo. Suala la ndoa ni complicated, ukiona mwenzako ana mapungufu fulani itoshe tu kusema kuwa nawewe unayo mengine ila anakuvumilia tu. Kwa vyovyote vile ni muhimu sana kuvumiliana
 
Wanaume wenzangu na mie, Ukipata Mke mwaminifu, mnayeshirikiana kwenye Malezi vyema, Asiyekuwa mshirikina, anayeamini katika maendeleo hata kama hana sura, wewe mthamini sana.... sana...... sana..... sana.... Hata kama haleti kipato, sawa sawa tu, mthamini sana. Mwanamke anaweza kugeuza maisha yako yakawa living hell kabisa. Mwanamke ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kuharibu maisha ya mtu, so ni muhimu sana kuwa makini wakati wa kuoa na kama umeoa mwanamke mwema mthamini sana sana sana..... Sie wanaume tunawaitaji wanawake as we get older than they need us!!!!!

Na nyie Dada zetu, thaminini hawa wanaume pia, maana yake, twaweza pata pesa, tukajijenga vizuri, ila sijui mwaingiwa na pepo gani, watoto wakikuwa mnaanza kututenga nao na kutamani kujitegemea, mwisho waka hata mna attempt kutuua, yani mimi sijui wanawaka mna tabu gani, the more mnakuwa the less mnaituitaji, but the more we get older the more we need you..... NI CHANGAMOTO KUBWA SANA,!
Mkithaminiwa mnajifanya vifua mbele michepuko isiyoisha, mwarudi usiku wa manane na kazini mmetoka 3:30pm, hamuulizwi kitu mikosea nyie ni Miungu watu, hamuombi radhi wala!
Tunaishia kusema wacha watoto wakue tu tu tunawstoa mioyoni tunsishi na nyie kimazoea kama jirani tu.
 
Back
Top Bottom