Ukipata message ya kutumiwa hela toka kwa kameroon utafanya je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukipata message ya kutumiwa hela toka kwa kameroon utafanya je?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shine, Nov 16, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukute meseji yenyewe inasema
  Umepokea Tsh2,000,000,000 kutoka kwa DAVID CAMAROON na bado hajasema niza nini ila kasema we jisikie huru tu kuzitumia
  je utazitumia au utafanya je?
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kama ni mimi ntatoka baruti kuwahi home, then ntafunga milango yote na familia yote ntahakikisha inakaa ndani muda wote.

  Hapo usikute wabunge wa CCM ndo kwanza wanaenda kununua yale mafuta ya KY!
   
 3. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hahahahahaaa!!!
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  kazi mnayo na huyo Cameron wenu. Nalog off
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Unajua kuzungumzia zungumzia haya mambo ya Cameron ndo mnahalalisha taratibu! Subirini miaka 3 - 5 ijayo tutakavyotoka jasho kulinda vijana wetu wa kiume wasiharibikiwe. Itakuwa kinyume na sasa, badala ya kuogopa watoto wa kike wasiharibiwe na mafataki, sasa itakuwa kwa vijana wakiume.
   
 6. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kumbe umepokea meseji hujapokea fedhwa?
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unapaswa ufurahi sana bila hata kujiuliza kwanini utumiwe wewe!

  Kula Mkuu, "advance" hiyo.
   
 8. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mmmmmh!its hard to swallow!
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  peleka pwani mkuu sikajitolea tu hela kitu chengine jombaa haina madhara hiyo hela we kula tu usiogope..
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0

  Kwa serikali yetu legele watahalalisha japo watafanya kimyakimya
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Yep sms ya Tigo / M pesa
   
 12. C

  Chifu kamaliza Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umefikiria nini mpaka unasema hivyo au unapenda kukamerooniwa
   
 13. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hivi bongo kila mtu ni mjinga? Hivi sasa kila kitu sijui Cameron kisa tu Britain ilitaka Tz iwape uhuru queers.
  Lakini si ajabu idadi ya mashoga dar pekee inaweza kuzidi ******* wote walioko bara la ulaya.
  wazungu wanapodai haki kwa kikundi fulani cha watu haimaanishi eti nchi yao iko hivyo enyi mbu mbu mbu.
  Ulaya ilipitisha haki za mtu mweusi pia asibugudhiwe kwa rangi yake. Je, Cameron ni Mmatumbi?
  Waislamu walipopewa uhuru wa kuabudu huko inamaanisha waingereza wamesilimu? Na ukahaba umeruhusiwa kule kisheria lakini idadi ya machangu uingereza pengine haikuti ya mji mmoja wa bongo ambako ki-nafiki kabisa tumepiga marufuku umalaya.
  Maadili ya wenzetu bado yako juu ndio maana walirudisha zile fedha za rada
   
 14. G

  Grey87 Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha,mal ya jogooo hyo.....hailik kizembe,ukila ujue utatwangwa kote kote
   
Loading...