Ukipangiwa kazi kigoma tarajia kukutanan na haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukipangiwa kazi kigoma tarajia kukutanan na haya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kabila01, May 22, 2011.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,011
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Wana Kigoma wanadai kua Mtu akipangiwa kazi Kigoma ana goma kuja kufanya kazi, akifanikiwa akaja kuanza kazi basi atagoma pia kuhama.
  Wanadai kua ukishakula kichwa cha samaki maarufu Kigoma anaitwa MGEBUKA pamoja na dagaa wa Kigoma basi hutoki Kigoma.
  Baadae wanamalizia kwa kukupa mke kutoka eneo maarufu linaitwa UJIJI hapo ndo hutoki kabisa yaani ndugu zako wataletewa tu taarifa baada ya kufa.
   
 2. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  si kweli mbona nimefanya kazi pale miaka mitatu na nimetoka pale, huo ni uzushi tu...
   
 3. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  umenifurahisha sana na umenikumbusha mbali! mwaka jana nilikuwa Kigoma kikazi pia, mwenyeji wangu akawa anaongelea sana hao migebuka, nikawa najiuliuza , huyu ndiyo mnyama gani, ilipofika Lunch time ndio akanipeleka kwenda kula hao migebuka, ni watamu kweli!!

  Ila hilo la kupewa mwanamke itabidi nilifanyie uchunguzi wa kiundani zaidi!
   
 4. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka wacha fix!!!!!!! Ukifika KGM utakachoku tananacho ni usumbufu wa usafili kurudi mikoa ya mashariki tu, manake bei ya nauli ya mabasi Balaaa! na barabara ni vumbi. Tren inasua sua.
   
 5. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kwa wanaume tu? Wanawake je??
   
 6. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Peleka thread yako kwenye jokes huko
   
Loading...