mtarimbo
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,529
- 3,919
Kwanza hiyo 33% unapewa baada ya mwaka,baada ya hapo unaandika barua ya kuhamisha michango kwenda michango ya hiar zoez hili huchukua takribani miez 6 had 8 ,baada ya kuhamisha inakula tena miez 6 kulipwa mafao yako hivyo kama unataka mafao yako na kazi mkataba umekata moto inabidi ukae kwa kipindi kisichopungua miaka 3 ndipo unaweza kupata ela yako yote.hii ni true testimonyKuna waliomaliza mikataba yao pesa zao wanapewa asilimia 33 tuu nyingine mpaka baada ya miezi 18
Hivi sheria ya fao la kujitoa imeshapita au bado?