Naomba wajuvi na wajuzi wa mambo mnisaidie, ukiondoa Tanzania ni nchi gani tena duniani imewahi kutumia jeshi kukusanya korosho?
Na vipi kama senene wakiwa wengi Bukoba, linaweza kutumika kuwakusanya pia?
Au siku mpunga ukiwa mwingi kule Kyela wataenda kuukusanya?
Na vipi migebuka ikifurika Kigoma wataenda?