Ukiondoa matukio ya Michezo, 90% ya matukio mengine mubashara (live) duniani huwa siyo halisi na bayana (off live record )

'* Na ikitokea Tukio dhaifu limeoneshwa basi huwa lipo ndani ya mpango kazi tangu mapema (planned event)'

Kwa hio CNN hua wanapanga na Trump kumuonyesha Live Upumbavu anaoufanya sio?

Hii habari yako nayo ni FAKE NEWS.
Umesoma lakini hujaelewa.

"Not everything is for everybody"
 
Sidhani hata kesi ya mashekhe imefikia hiyo gharama ingawa wamekaa ndani zaidi ya miaka 5,pale wanalala bure,kupelekwa mahakani kwenda na kurudi ni mafuta tu ya defender ,wale polisi wapo on duty mwisho wa mwezi wanalipwa kama kawaida,mawakili wa serikali wanalipwa mishahara,usafiri wa mshitakiwa kuletwa bei za ndege zinajulikana na either ni wanasiasa wakubwa ndege ndo zinatumika ,hawa kama sisi wanaletwa na basi kila siku tunapanda nao mabasi.

Hao polisi kwenye uchunguzi sasa hivi mkoa na mkoa ni simu zinapigwa ya kituo na kituo cha polisi au mahakama.

Hiyo mil 200 mahasabu yake yanatoka wapi labda mil 20 hata hivo ni nyingi
Mambo mengi uliyoyaandika hapo hayana uhalisia, ni porojo tu.

Yaani hapo nilipo bold, umeandika uongo mkuu. Hakuna kitu kama hicho. Hujui namna kesi zinavyoendeshwa, unapotosha watu hapa.
Hujui kitu wewe!

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Sidhani hata kesi ya mashekhe imefikia hiyo gharama ingawa wamekaa ndani zaidi ya miaka 5,pale wanalala bure,kupelekwa mahakani kwenda na kurudi ni mafuta tu ya defender ,wale polisi wapo on duty mwisho wa mwezi wanalipwa kama kawaida,mawakili wa serikali wanalipwa mishahara,usafiri wa mshitakiwa kuletwa bei za ndege zinajulikana na either ni wanasiasa wakubwa ndege ndo zinatumika ,hawa kama sisi wanaletwa na basi kila siku tunapanda nao mabasi.

Hao polisi kwenye uchunguzi sasa hivi mkoa na mkoa ni simu zinapigwa ya kituo na kituo cha polisi au mahakama.

Hiyo mil 200 mahasabu yake yanatoka wapi labda mil 20 hata hivo ni nyingi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mkuu, hata sikutaka kumpa faida ya hiyo elimu huyu mpotoshaji.

Yaani hajui kwamba Majaji, Mahakimu , Askari, Mawakili wa Serikali wapo on duty kwa mwezi mzima inregadless ya kesi wanazokutana nazo kila siku??

Hajui kwamba hakuna mahabusu anayesafirishwa binafsi mahakamani bila wenzake hivyo kuongeza gharama??

Hawa vijana wa ufipa hawajui mambo mengi na nsio wasumbufu hapa jukwaani.

Wanatupa majukume mengine kuwaelimisha badala ya kujibu hoja zao??
 
Zipo kazi za on duty! Na zipo kazi maalum! Special task! Huwezi kumtoa mfanyakazi nje ya kituo/mkoa halafu useme analipwa mshahara, hujui kitu uliza,
Halafu kingine Jifunzeni kuthaminisha na mda, mda nao ni Pesa kama hujui,
Hivi mfano; ukimshikilia mtu anaeingiza pato kodi dolla 600 Kwa siku kupitia kazi yake/ au kampuni yake Kwa miezi 6 au miaka 4 unakuwa umepoteza tsh ngapi?
 
Mkuu, hata sikutaka kumpa faida ya hiyo elimu huyu mpotoshaji.

Yaani hajui kwamba Majaji, Mahakimu , Askari, Mawakili wa Serikali wapo on duty kwa mwezi mzima inregadless ya kesi wanazokutana nazo kila siku??

Hajui kwamba hakuna mahabusu anayesafirishwa binafsi mahakamani bila wenzake hivyo kuongeza gharama??

Hawa vijana wa ufipa hawajui mambo mengi na nsio wasumbufu hapa jukwaani.

Wanatupa majukume mengine kuwaelimisha badala ya kujibu hoja zao??
:rolleyes: :rolleyes: :rolleyes:
 
Rais Mwinyi alivyopigwa makofi pale msikitini lile tukio lili-rushwa Live na kwny taarifa ya habari ITV kiroho safi.

Kwa hio hii nayo ilikua imepangwa sio?
Watoto wa Ishmael wanastahili mabikira 100 kila mmoja, rais anakula mabanzi bila aibu 😅🍻🍻🍻
 
Back
Top Bottom