Ukiona watu wazima na akili zao wanafanya hivi kwa mwizi ujue kuna tatizo kubwa-Edson wa JF

kwa staili hii, nchi imerudisha ubepari. acha watwana watumikie mabwana zao. Ukisoma picha kuna habari nyingi za kuandika. 1. Maslai yao yaliwekwa rehani. 2. Uozo uliopo ni wa wengi. 3. Kuna siri nzito ingefichuka. 4. Anawasaidia sana maswala ya kifedha. Nisaidieni nyingine.

Yani nimengalia chanel ten taarifa ya Habari na nilivyoingalia hii picha yani siku yangu imeharibika kabisa. Ukimsikia Ngereja waziri mwenye mamlaka wa wizara hii katoka Dodoma kwa ajili ya kuja kumpokea Katibu mkuu eti haki imetendeka. Huyu hafai kabisa kuwa Waziri

mi ciku iz hata vidole vya kutaip comments vimekufa ganzi...!

nikae tu kimya....better this way!

mna heri mlioko ulaya,asia na america!hakika mna heri ninyi....na nisingewashauri hata kufikiri kuyafanya maisha yenu tanzania!please

Mi hata sijui ukiwauliza watajibu nn!
Wakirudi nyumbani kwao wanakutana na giza! Aibu tupu
Hommie hapa nina hasira balaa!!
kwanza umeme wamekula, laptop yangu itazima mida si mirefu, mbu wananitafuna, sijui wametumwa na Chiligati!!

Sukari bei juu
mafuta bei juu
umeme hakuna kabisa
dawa hospitali hakuna.........hata dose ya minyoo hakuna!!!
dawa zinaharibika kwenye maghala ya MSD
samaki wa sumu wanaingizwa nchini

mi ciku iz hata vidole vya kutaip comments vimekufa ganzi...!

nikae tu kimya....better this way!

mna heri mlioko ulaya,asia na america!hakika mna heri ninyi....na nisingewashauri hata kufikiri kuyafanya maisha yenu tanzania!please
pole sana!!!

Hommie hapa nina hasira balaa!!

kwanza umeme wamekula, laptop yangu itazima mida si mirefu, mbu wananitafuna, sijui wametumwa na Chiligati!!

Sukari bei juu

mafuta bei juu

umeme hakuna kabisa

dawa hospitali hakuna.........hata dose ya minyoo hakuna!!!

dawa zinaharibika kwenye maghala ya MSD

samaki wa sumu wanaingizwa nchini

umesahau na hii
mwizi wanasema makosa yake yalikwa sio baada ya uchunguzi

Back
Top Bottom