MkuuAisee!
..Unakuta mtu hafanyi biashara Ila anajaza status nying zimezunguka Kama shanga..alafu hakuna hata cha maana ukiview
Napitaga hivi
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Alafu sasa unakuta anapost memes tuuIla kuna watu ni wana kipaji cha kupost status. Mtu anapost status 15+ 🙌
Ww ndo uleta ujinga mpya apaUkiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
Ndio hamna cha maana kabisa, af wengine ni wanaume uwiii🤐Alafu sasa unakuta anapost memes tuu
SawaUkiona watu hawaview status zako jua unapost ujinga badilika jamaa angu utakosa viwers bure hakuna anayekubali bando lake liishe kijinga kwa kuangalia ujinga
So tusio post status inakuwaje😎😎Ndio hamna cha maana kabisa, af wengine ni wanaume uwiii🤐
Ukipost ujinga ndiyo viewers wengi vice versa is true. Post misambwanda utaona viewers wengi. Imba ujinga eg kwa mpalange ndiyo utauza nyimbo sana. Ukiimba kilimo cha kufa na kupona wala huuzi nyimbo.Sawa
Wanakuchora wanakujua wanakucheka...Status ni jokes usiweke maisha Yako real waty wako wa karibu ni wabaya sana usiwe unajipost kila SAA kama umepotea