Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,045
- 20,408
Hali Hii inatisha!
Unapoona watoto wanatamani kusikia Baba yao amevuta, basi ujue aliyewafikisha hapo ni Baba yao mwenyewe!
Malezi bora unayompa mtoto ya Upendo na kumthamini ndio yanamjenga mtoto kukupenda na kukuheshimu kama Baba na atakulinda na kukutea kwa kila hali, Ukiona kila saa unamkumbusha mtoto kuwa mimi ndio Baba yako, ujue kuna shida kubwa Sana kwenye Malezi.
Baba anatakiwa alee familia yake kwa Mapenzi yote ili watoto watamani kuishi na Baba yao.
Inatisha sana pale unaposikia watoto wakifurahia kumuhesibia time Baba yao bila hata kujua ni kweli au sio lakini wanaonekana kutamani kuwa kweli!
Ninaomba sana Baba mwenye malezi ya chuki, hasira, kutukana hovyo, kuchapachapa, kumfunga ndani, kumzuia kuongea,... matendo yote ya hovyo unyanyasaji kwa wanao, basi tegemea hata ukiumwa mafua, watatamani uzime jumla!
Watoto wanahitaji upendo, kumjali na kumheshimu, usimnyanyase hata kidogo!
Kama unaumwa, sawazisha na wanao na ikiwezekana waambie na wengine wakuombee upone!
Ninawatakia malezi mema kwa watoto wenu.
Baba kaenda safari, mara kakatisha safari yake bila maelezo karudi nyumbani pahala ambapo alisema amehama, hajulikani alipo na hajaenda kufungua shughuli aliyokuwa ameipania kuwananga washindani wake, muda huo watoto wanafurahi kwa shangwe na vifijo, lazma ujiulize maswali mengi sana.
Baba analazimisha kupendwa ilhali hapendwi, hana kauli, kila kitu anajua, lazma achokwe.
Tumuombee baba , kama kweli yupo na kama hayupo tumuombee baba yetu
sam Ruhuza