Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 28,811
- 39,019
Ukiona unatumia staili nyingi kwenye kumi na nane (18) ujue umemgeuza mwenzio kama chombo cha starehe. Na hii imekuwa ni kasumba kwa watu kujisifia; mara popo kanyea mbingu, mbuzi kagoma, chuma mchicha n.k Tujiulize yote hayo ni ya nini? Je yanampendeza muumba?