Ukiona unatumia staili nyingi kwenye kumi na nane (18) ujue umemgeuza mwenzio kama chombo cha starehe

Ukiona unatumia staili nyingi kwenye kumi na nane (18) ujue umemgeuza mwenzio kama chombo cha starehe. Na hii imekuwa ni kasumba kwa watu kujisifia; mara popo kanyea mbingu, mbuzi kagoma, chuma mchicha n.k Tujiulize yote hayo ni ya nini? Je yanampendeza muumba?
popo kanyea mbingu naomba hii picha yake unitumie inbox .
 
70204809_713115389202903_6973789506320755082_n.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom