Ukiona unafundishwa mambo haya ujue unatatizo la msingi

..mi sipendi watu kupangiana maisha..homogeneous life halijawahi kua life la mwanadamu..our diversity and differences ndio maisha yetu.

Mbaya zaidi kuna watu alimezeshwa matango poli kuwa imani zetu zilikua mbaya ilihali ndizo zilizo walea na kuwatunza wazee wetu hadi sisi kuja kuzaliwa mbona tuzibeze?

Kama unaona hazi fai kaa kimya abudu zi zokufaa hujalazimishwa..leo hii ushoga ni haki za kibinadamu ila kuwa na wake wengi ni kosa...brainwashed creatures ni tatizo sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app


Na nilichoandika ndio hiko
 
Nina tatizo la msingi, tena msingi wa zege.... Naomba kufundishwa namba 2.
Ahsante
 
Namba 9 imewafanya watu wengi kuwa watumwa na wengi wao hawajui kuwa nabii wa maisha yako ni wewe mwnyewe
 
Back
Top Bottom