Ukiona tu mpenzi,mke,mume ,demu wako anakusaliti mara kwa mara ujue humfikishi

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Ndio hivyo jiulize uwezo wako wa kwenye faraga ukoje je unamridhisha au humridhishi
Kipimo cha kujua haya yote kwa mwanaume na mwanamke ni usaliti
Ukiona unasalitiwa mara kwa mara na mwenza wako, demu wako,mchumba wako, mke wako,mume wako jua kuna vitu kwako haviko sawa na itakubidi utafute chanzo cha tatizo hilo ni nini

Ukweli ni kuwa kama unamridhisha vya kutosha mwenza wako mke wako mume wako hatahisi kama kuna mwingine zaidi yako

Kama unamridhisha vizuri demu wako mchumba wako basi haya hutayaona na wala hataamini kama kuna mwingine zaidi yako

Usisahau maneno yako
Namna unavyotendea kwa uzuri hawezi kukusahau daima
 
Hii sasa tunaita tamaa kwa sababu hakuna cha tofauti kama mnaridhishana vizuri na kila mtu akitumikia kifungo chake vizuri
Sio tamaa, ni Mungu katuumba hivyo! Tuache kumbishia Mungu.

Hata yule ambaye hachiti, anapata kila kitu kwa mpnzi wake, akiona sketi imepita huwa anashawishika ila anajibana kwa shiiida!
 
Mimi naona sababu kubwa ya usaliti ni tamaa pamoja na kutokumheshimu mwenzi wako. Kutokufikishwa kileleni haimpi mtu uhalali wa kusaliti, kwanini usisemezane na mwenzio? then akishindwa kubadilika kuna mawili either Uvumilie au Vunja mahusiano tafuta ambae unahisi anakufikisha kwa kilele.
 
Sio tamaa, ni Mungu katuumba hivyo! Tuache kumbishia Mungu.

Hata yule ambaye hachiti, anapata kila kitu kwa mpnzi wake, akiona sketi imepita huwa anashawishika ila anajibana kwa shiiida!
Sawa lakini usimhusishe Mungu maana sidhani kama Mungu kasema tusalitiane
 
Mungu tu ndio anaweza kumridhisha binadamu, kwa bahati mbaya hata yeye hatupi vyote.
 
Back
Top Bottom