Ukiona sticker in nembo ya Apple inarangi hii usiweke katika gari au nguo usivae utaitwa Shoga

Juzikat nimeona post FB mashoga na wasagaji wanapaka hizi rangi kwenye ngazi za daraja.🤔🤔🤔 huenda kuna jambo behind the scene.
 
Juzikat nimeona post FB mashoga na wasagaji wanapaka hizi rangi kwenye ngazi za daraja.🤔🤔🤔 huenda kuna jambo behind the scene.
Iko namna unaweza kukuta huu ni mpango wa miaka 50 iliyopita!
 
Unakosea wewe kusema Steve Jobs alikuwa shoga.

Steve hajawahi kuwa shoga labda kama unamuongelea Tim Cook.
 
Hata nyakati za Masika tukiiuona Upinde wa Mvua Tusiuangalia Utatuambukiza Ushoga?!Kaka kiiza.
PRM00012_114984451_still_1600.jpg
 
Mkuu hata hayo maandishi ya GOOGLE nayo mbona ni GAY COLOR CODE?
tumezungukwa na hizo rangi kila mahali,sema tu wabongo tunajifanya ujuaji mwingi wakati kimsingi mbele giza...twendeni tu hivyo hivyo,hakuna namna...
Duh aise
Hii sasa no balaa
Ila rangi hizo ndy za mashoga

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa kitu kimoja, kwa hiyo ukishabandika hizo sticker au ukitumia bidhaa zenye rangi hiyo tayari kuna nguvu itakayokusukuma na ww kuwa shoga au inakuwaje?

Alafu mtu akisema wewe shoga na ukweli wewe sio shoga itakupunguzia nini? Mi naona ni bora kujishughulisha na vitu ambavyo tunaweza kuvicontrol.
 
Tutakuwa watumwa wa vitu tulivyopewa na Mungu, kisa tu kuna mtu mmoja asiyekubalika na jamii alivitumia. Tulianza kusema hii ni alama ya freemasons, sasa tumekuja hii ni alama ya gays. Mwisho tutajikuta tunaogopa kila kitu
 
Rainbow ni alama ambayo Mungu aliiweka kama agano kwa mujibu wa Bible baina yake na sisi wanadamu kuonyesha kwamba hatareta tena Gharika

Sasa watu kama mtu ameamua yeye kuitumia kwa namna yake mwache ili mradi wewe hauitumii kwa matumizi hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajifariji tu mzee!

Kuna Tecno users wengi wamekuzidi kila kitu wewe mwenye sijui iPhone X na sometimes unakaa chumba cha kupanga na wala hawawazi kuishangaa sembuse kuinunua.

Hii kauli huwa mnaitumia sana mnaomiliki vifaa brand hii ila hamna lolote mnalokuwa nalo ukweli ndo huo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Sijawahi kuifikiria hiyo simu hata siku moja. Hapa nawaza namna ya kuipata Blackberry Passport na Playbook
 
Hata wanaotumia ARV na dawa za Malaria waache maana wachangiaji wakuu ni Gays na Lesbians. Baniani mbaya kiatu chake dawa. Achana na madawa yao kufeni.
 
Steve Job hakuwa Shoga, alikuwa mume wa mwanamke na walijaliwa watoto watatu. Shoga ni Chief Executive Officer ( CEO) wa sasa Tim Cook. Alishajitangaza hadharani kuwa hakuna zawadi kuu toka Kwa Mungu aliyopewa kama kuwa Shoga. Hizo rangi za Rainbow ni alama ya Ushoga.
Zawadi kuu toka kwa Mungu ni kuwa Shoga? Utamu ulioje anaoupata huyo bwana kwenye shoga, this is ridiculous!
 
Si lazima kuwa apple hiyo. Unakumbuka hivi karibuni kuna shule moja watoto walishika bendera moja yenye rangi mbalimbali kama hizo ambayo imekuwa inatumiwa na mashoga. Na wahusika walisema wangefanya uchunguzi juu ya suala hilo shuleni hapo.
HIVYO UKIBANDIKA KWENYE GARI YAKO AU SEHEMU NYINGINE WEWE NI SHOGA.
Post mzuri
 
Back
Top Bottom