Ukiona Rais wa nchi analindwa sana ujue Rais huyo hakuchaguliwa kwa kura halali

Aliyesema Papa huchaguliwa na wengi si kweli! Anawekwa na wachache na akisema rangi nyeusi ni nyeupe ni lazima wote waseme "ndio"
 
Ukiona Rais wa nchi analindwa kwa ulinzi wa hali ya juu sana, kwa mitutu na wanajeshi wengi, ujue huyo Rais hayupo hapo alipo kwa kura za wananchi wa Taifa hilo. Hivyo muda wote ana wasiwasi ya kuondolewa kwenye kiti alichakalia kibatili.

Ukiona Rais analazimisha kila mwananchi amuimbe yeye tu. Ujue hana uhakika na kuchaguliwa tena na Wananchi kwa awamu inayofuata, hivyo analazimika kulazimisha kila raia kumuimba yeye ili kuaminisha watu kuwa anakubalika.

Ukiona Rais wa nchi analazimisha watumishi wa Umma (wanaolipwa kodi za Wananchi) kumuimba yeye na kuwalazimisha Watumishi hao kujiunga na chama chake yeye, maana yake Rais huyu anajua kabisa kuwa hajawatimizia mahitaji muhimu watumishi hawa hivyo ili kutokumsumbua katika madai ni kuwatisha na kuwalazimisha wote wawe waimbaji wake wa mapambio.

Ukiona Rais wa nchi analazimisha kupendwa na kila mtu kwenye Taifa, ujue Rais huyo ana matatizo binafsi. Haelewi hata anachokifanya, maana anapingana na nature na ukweli wenyewe wa mambo kuwa, watu hawawezi kuwa na mtazamo sawa.

Ukiona Rais wa nchi hataki wapinzani wake wazungumze, wahoji na kuwachukulia Wapinzani wake kama "wahaini" katika Taifa, ujue Rais huyu katika Serikali aliyopo imefanya maovu mengi sana kuliko kawaida. Ikiwemo, mauaji ya raia, wizi, ubadhirifu n.k

Ukiona Rais wa nchi analazimisha watu wote kuikubali Serikali na kumkubali Rais kwa kila anachokifanya, ujue Rais huyo hajatekeleza mambo ya Wananchi badala yake ametekeleza matamanio yake na kuacha mahitaji ya Wananchi. Hivyo anawalazimisha Wananchi wakubali kuwa, matamanio ya Rais huyo ndio mahitaji ya Wananchi.

Unaweza kuongeza na wewe ndugu msomaji!!

Mohonia Joseph
Ulinzi wa Viongozi ni Kazi ya Kitaalamu inayofundishwa kama wanavyofundishwa Wanasheria Wasomi. Acha kujishaua kwenye Taaluma za Watu.
 
Ndugu,
Rais Barrack Obama alikuwa na ulinzi mkali sana kuliko wa mtangulizi wake George W. Bush.

Siku Barrack Obama anaapishwa, mara ya kwanza kuwa Rais wa Marekani 2009 ulinzi ulikuwa tight sana kuliko wakati Bush anaapishwa mara ya kwanza 2000 au Clinton 1993.

Ulinzi wa Rais yeyote duniani waachieni watu wenye kazi zao wanajua namna ya ku-assess level ya domestic and foreign threats.

na ifahamike, kama n ulinzi Kenya tu hapo wafanyabiashara wana ulinzi mkali sana kuliko wa hapa kwetu na kuna wengine wanazidiwa kwa mbali sana kwa kiwango cha utajiri na wafanyabiashara wa hapa kwetu.

nadhani tujikite kwenye issues za namna gani we become billionaires kwa biashara ya ndani na nje ya Tz kwa fursa zilizopo kwa sasa na siku zijazo
 
Obama alilindwa kuliko marais wote, hakuchsguliwa kwa kura? Papa anslindwa kuliko marais wote, naye hakuchaguliw Kwa kurs. Acheni kujitoa ufaham
Rudia historia ya viongozi uliowataja na mazingira wanamoishi.
 
Obama alilindwa kuliko marais wote, hakuchsguliwa kwa kura? Papa anslindwa kuliko marais wote, naye hakuchaguliw Kwa kurs. Acheni kujitoa ufaham
Pale ulinzi sio Obama bali ni "president of United State" na sababu za ulinzi huo ziko wazi.
Kwa papa halindwi Francis bali "ukatoliki" na sababu ziko wazi.
Sasa mfano wa hapa kwetu, Rais wa JMT ana sababu zipi za ulinzi mkali tofauti na Zambia, Kenya, Msumbiji nk? Kwa hiyo kama atakuwa tofauti na hao niliowataja basi ana sifa zilizotajwa kwenye mada kuu
 
Back
Top Bottom