rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,474
- 41,869
Yani inabdi uwe mkweli tuu...
Umenichekesha wewe mtu..
Yani inabdi uwe mkweli tuu...
Umenichekesha wewe mtu..
Hapana yupo tu mtaani kaajiriwa sehemu anauza duka la nguoHuyo Binti ni Mwanachuo?
Duh!!!Hapana yupo tu mtaani kaajiriwa sehemu anauza duka la nguo
Umeandika ya kweli kabisa.Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke.
Jf ujinga umekuwa kwa kasi Sana nashawishika kusema japo sitasikika mtoa mada ni mjingaUkiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Slay queens banaUkiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Mwanaume anaweza kutoa hela nyingi kwa mwanamke asiyemuomba hela lakini hutoa pesa kidogo kwa mwanamke muombaji hela. Tafsiri ya mwanaume kwa mwanamke asiyeomba hela huwa ndio mwanamke sahihi na mstahamilivu hata kwenye vipindi vigumu.
Hela hutakiwi kuiomba kwa mwanaume ila unatakiwa kuonesha thamani kama hela atakupa yeye mwenyewe bila kuomba, na uzuri wa mwanaume ukiijenga thamani kwake wala hana ajizi kukupa hela. Mwanamke aliefundwa na akafundika kamwe hawezi kuomba hela kwa mwanaume, matokeo ya kutokufundwa ndio hili wimbia la omba omba tunaloliona zama hizi.
Nafasi ya hela kwenye mapenzi ya dhati ni ndogo sana na sio kweli kuwa ukipendwa kwa dhati ndio hupewa hela. Hela hutumika kununua bidha au thamani ya kitu ukiona wewe muda wote ni kuomba omba hela tu jua kuwa, mbele ya mwanaume kwake hukuona kama bidhaa na sio mwanamke mwenye thamani mbele yake.
Kama baba yako mzazi kashindwa kukutatulia changamoto zako za kimaisha, vipi kijana uliyekutana nae mtandaoni akutatulie changamoto za maisha yako yote? Acha kuomba omba hela kwa mwanaume unapunguza thamani yako na mwisho wa siku utapewa talaka kweupe kwasababu wanaume hawapendi kuombwa hela.
wanawake wengi hawako independent kabisa ndio maana unakuta wanaharibiwa future.Tabia kama hizo zinaletwa na umaskini wa mali/ hela, umaskini wa elimu, na umaskini wa fikra. Wazazi hata wa kipato cha kati, wengi wana umaskini wa elimu ya malezi na elimu ya fikra. Anashindwa kupambana kumlea mtoto wa Kike akakua bila ya kuwa omba omba. Unakuta wazazi wenyewe wanataka mtoto awe chanzo cha kipato hata kutegemea Mahari iwasaidie. Pia wazazi wanashindwa kufundisha mtoto wa Kike kwamba kudanga ni jambo lenye hasara maishani, na pia wanashindwa kumfundisha ASIWE NA TABIA YA KUSHOW OFF. Mimi nime-date Wadada kadhaa lakini unakuta badala ya aniombe hela ya mtaji wa biashara au ya kufanyia maendeleo, ni bora aniombe hela ya kusuka nywele, hela ya kununulia iPhone, hela ya kununulia nguo nk. Wengi ndio wananunuliwa hizo iphone kwelikweli, ila shule na vyuo wanaacha, mimba wanapachikwa na wanaume wanakimbia majukumu ya malezi, future inaharibika, na hata ukimwi wanaupata.
Kwani huo utamu tunapata pekee yetu?! Unataka nambia wakati wa kupigwa miti wewe huwa hausikii chochote. Nyie ndio mnafanya wanaume akikaa kifuani anamwaga fasta ukilalamika sijui sijafika au sijamaliza anakuuliza yaani hela nikupe na utamu nikupe.... Tafuta mwenyewe utamu wako.Mhh mtaombwa tu hakuna namna na nyie muache kutuomba utamu ili kila mtu abaki na cha kwake.
Binafsi nachukia mwanamke mzigo, yeye kila kukicha anaomba hela tu na kuhitaji anunuliwe vitu kama mtoto mdogo wakati hana issue yeyote. Demu akianza kuniomba hela tu naanza kupang namna ya kumtema, mtu anatoka kake kuja kuliwa uroda ambao na yeye anapenda eti anataka nimpe nauli y kurudia kwao na nimpe posho ya kuliwa uroda, for what wakati hakufanya chochote zaidi ya kulala tu na kuangalia status yake Instagram.Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Mwanaume anaweza kutoa hela nyingi kwa mwanamke asiyemuomba hela lakini hutoa pesa kidogo kwa mwanamke muombaji hela. Tafsiri ya mwanaume kwa mwanamke asiyeomba hela huwa ndio mwanamke sahihi na mstahamilivu hata kwenye vipindi vigumu.
Hela hutakiwi kuiomba kwa mwanaume ila unatakiwa kuonesha thamani kama hela atakupa yeye mwenyewe bila kuomba, na uzuri wa mwanaume ukiijenga thamani kwake wala hana ajizi kukupa hela. Mwanamke aliefundwa na akafundika kamwe hawezi kuomba hela kwa mwanaume, matokeo ya kutokufundwa ndio hili wimbia la omba omba tunaloliona zama hizi.
Nafasi ya hela kwenye mapenzi ya dhati ni ndogo sana na sio kweli kuwa ukipendwa kwa dhati ndio hupewa hela. Hela hutumika kununua bidha au thamani ya kitu ukiona wewe muda wote ni kuomba omba hela tu jua kuwa, mbele ya mwanaume kwake hukuona kama bidhaa na sio mwanamke mwenye thamani mbele yake.
Kama baba yako mzazi kashindwa kukutatulia changamoto zako za kimaisha, vipi kijana uliyekutana nae mtandaoni akutatulie changamoto za maisha yako yote? Acha kuomba omba hela kwa mwanaume unapunguza thamani yako na mwisho wa siku utapewa talaka kweupe kwasababu wanaume hawapendi kuombwa hela.
pweeeeintiiiii hii... mzee agiza soda kwa bili yako. umenena vyema kabisaUkiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli.
Mwanaume anaweza kutoa hela nyingi kwa mwanamke asiyemuomba hela lakini hutoa pesa kidogo kwa mwanamke muombaji hela. Tafsiri ya mwanaume kwa mwanamke asiyeomba hela huwa ndio mwanamke sahihi na mstahamilivu hata kwenye vipindi vigumu.
Hela hutakiwi kuiomba kwa mwanaume ila unatakiwa kuonesha thamani kama hela atakupa yeye mwenyewe bila kuomba, na uzuri wa mwanaume ukiijenga thamani kwake wala hana ajizi kukupa hela. Mwanamke aliefundwa na akafundika kamwe hawezi kuomba hela kwa mwanaume, matokeo ya kutokufundwa ndio hili wimbia la omba omba tunaloliona zama hizi.
Nafasi ya hela kwenye mapenzi ya dhati ni ndogo sana na sio kweli kuwa ukipendwa kwa dhati ndio hupewa hela. Hela hutumika kununua bidha au thamani ya kitu ukiona wewe muda wote ni kuomba omba hela tu jua kuwa, mbele ya mwanaume kwake hukuona kama bidhaa na sio mwanamke mwenye thamani mbele yake.
Kama baba yako mzazi kashindwa kukutatulia changamoto zako za kimaisha, vipi kijana uliyekutana nae mtandaoni akutatulie changamoto za maisha yako yote? Acha kuomba omba hela kwa mwanaume unapunguza thamani yako na mwisho wa siku utapewa talaka kweupe kwasababu wanaume hawapendi kuombwa hela.
Tukupe millioni 10 halafu tuanze kukuomba uone kama utafikia malengo ya hiyo millioni 10. Au tukugeuze jinsia uwe mwanaume waanze wanawake wenzako kukuomba labda🤣🤣Wanaume wa siku hizi
Hivi hamuoni raha ya kuombwa na mpenzi wako????
mnachekesha kweli, na marafiki nao tunawaombaga huo utamu. Maana ninamarafiki na ninawaheshimu sana sina hata mawazo ya kufanya hivyo ila wanaomba tutasemaje???Mhh mtaombwa tu hakuna namna na nyie muache kutuomba utamu ili kila mtu abaki na cha kwake.