Ukiona mwanasiasa anakupa siku 14,90,au miezi 6 ujue ni VITISHO TU

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Mara nyingi nimezoea kusikia nakupa siku3,14 nk ...kama kitisho kwa muhusika akiri kosa au aombe msamaha

Kwa hiyo basi tusishange siku14 za ZZK kuwajibika,siku90 za Mangula kuwafukuza mafisadi na wala rushwa,hata katiba mashakani...

Lazima uwe mwanasiasa kuahidi vitu ambavyo havitekelezeki !

Bravo ZZK coz u make a sleepless to BABU wa GONGO

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hata DJ Mbowe kaona bora aende DUBAI kutoa stress na bi.Joyce Mukya
 
Nathibitisha.

CCM: Ilitoa siku 90 kujivua gamba, lakini wapi!

CHADEMA: Ilitoa siku 14 kwa wasaliti, lkn wapi!


Hizo siku hutumika kuhadaa wananchi tu, na kikubwa huwa ni kupima UPEPO.
 
hizo ndio siasa za kibongo zilivyo,ni wepesi kusema lakini ni wagumu kutenda.
 
Nathibitisha.

CCM: Ilitoa siku 90 kujivua gamba, lakini wapi!

CHADEMA: Ilitoa siku 14 kwa wasaliti, lkn wapi!


Hizo siku hutumika kuhadaa wananchi tu, na kikubwa huwa ni kupima UPEPO.

Siku 14 zilitolewa wawe wameandika barua za kujieza kwa nini wasifukuzwe uanachama,na walifanya hivyo au ulitaka nini zaidi mbona humuuliza Nape aliyesema baada ya siku 90 gamba litavuliwa,mzee wa vijisenti akasema limefika kiunoni kuvuka hapo haliwezekani tena.
 
Slaa kamaliza ziara yake leo singida sasa anarudi dar mtaisoma namba masalia
 
Back
Top Bottom