Ukiona muda wa kuliwa umewadia tuliza mshono kwa usalama wa mwili wako!!

Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,030
4,645
Utulivu husaidia wakati mwingine
IMG_20180713_092101_067.jpg
 
Hapo nahisi swala anasema "sasa Baba Chui unaanza kunikula kuanzia wapi wangu,unaanzia mdomoni au nyuma kwenye mkia"

Chui naye anajibu "tulia swala akitaka urafiki na chui ujue amekubali kuliwa kuanzia popote"
 
Back
Top Bottom