Ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu kama mada inavyo jieleza hapo juu huku na huku vinasikika vilio vya tofauti tofauti huko nyumbani Tanzania thread zinaongezeka JF watu wanaomba ata kwa watu wasio wajua hilihali apate msaada pengine kazi ya kujitolea alipwe chakula,pesa ya kula mchana 2000,au pesa ya matibabu.

Nimekua nikifatilia thread kuona km watu wanatania lakini hapana mpka mwisho wa thread mtu amesimamia msimamo,
Nimekua member wa JF tangu 2009 km guest user sikuwahi kuona aya mambo km yalivyo sasa naomba tusiwadhiaki km una msaada pita pembeni hali sio hali huko nyumbani Mungu awanusuru.
 
Mambo yanabadilika kwani 2009 kulikuwa na yale mambo ya tuma ile hela kwa no hii simu yangu mbovu jina litakuja papuchi yangu tuwen makin na mabadiliko ya hali ya mifuko yetu
 
Kwakweli hali ni tete.
Unaweza fikiri ni matapeli lkn inavyoonekana hawa viumbe wametingwa kweli.
Haya mambo hayakuwepo kabisa humu lkn kipindi hiki yanazidi siku hadi siku..
 
Huku nyumbani heshima imenoga una ambiwa ata wale mabinti walio kuwa wana dharau elfu kumi sasa hivi wanaitafuta kwa tochi..Cha mwisho wengi wanaomba msaada wapo dar hii inatokana kila mtu anataka aishi ata kama hali si hali nchi hii kubwa nenda mbeya kagera manyara mwanza n.k mtembea bure sio sawa na mkaa bure
 
Back
Top Bottom