Ukiona Mtu hasikilizi, ujue hana Akili!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hiki ndiyo kipimo cha mtu mwenye akili siku zote, kama unaongea na mtu halafu hasikilizi yeye hata kabla haujamaliza kumuelezea ameshadakia kukujibu ujue huyo jamaa ni kilaza, mtu yoyote yule asiyesikiliza ni kilaza!


15.jpg

vs

New+Document.jpg
 
Kama ulivyo wewe mleta mada, kitu gani hiki kisichoeleweka...
 
Hembu tuambie, yule jamaa mwenye kofia, alokasirika na kukunja sura ndo nani? maana najua ndo unaemzungumzia hapa.
 
Ukimuona mtu anaburuza viatu au kutafuna kwa sauti ni dalili ya ukiziwi
 
Back
Top Bottom