Ukiona Mtu anawapinga sana mashoga au kuwasema sana mkimbie

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,214
2,000
Kwanza mwanaume rijali unayejiamini, unawezaje ukasumbuka na habari za mashoga?

Mara nyingi watu walio na kasoro na uanamume wao, au walio na mashaka na urijali wao, au wanaotaka kuthibitisha hadharani kuwa wao ni marijali ndio huwa wanababaika na mashoga.

Wanarukia habari za mashoga kwa nguvu zote ili wajithibitishe urijali wao na kufidia mashaka yao!

Na mara nyingi watu hao huwa wanashiriki vitendo vya ushoga au wanashiriki vitendo vinavyoshabihiana na ushoga, Kwahiyo wanatafuta namna ya kujiridhisha nafsi zao kwamba WAO SIO MASHOGA kwa kuwatusi mashoga.

Ni ugonjwa wa kisaikolojia tu!

umesema yotee sina la ziada ndugu


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,949
2,000
ya mwisho kwa leo,
nimepitiaa huo uzi na kati ya comment zote wanajifanya hawajui mashoga,mara sijui hivi inakuwaje,mara sijui wanadindaje watu kama hao wakimbie, tafiti zinasema kwamba 98% ya wanao wapinga mashoga in public na kujifanya hawawapendi sijuii blah blah either ni mashoga,wanaliwa au ni walaji wa mashoga wakia mbele za watu wanajifanya kuwatukana ila wakiwa chobingo ndo watumiaji.

hivi tujiulize kwa jinsi mashoga wamekuwa wengi dar unafikir wanaongezeka bila kuwa na wateja wao??
trust me wanaume waliopo kwenye ndoa ndo wanaongoza kwa kutembea na mashoga coz hayo mambo kwa wake zao hawayapati.

cha muhimu mama mkanye mwanao,mchunguze mumeo esp kwenye social networks manake kuna balaaa saaana saanaa yaaan ukiingiaa snapchat watoto wa kiume walivyo haribika ni balaaa unaweza sema Mungu sitak mtoto wa kiume

so nawashauri wanawake wenzangu jitahidi kufatiliaa social networks za watoto na waume zenu kamfollow nani?nacomment nn?dm,pm snapchat ndo balaaa watu hawogopi jamani inatishaaaa basi tu
View attachment 1374312


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni shoga kweli
 

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,799
2,000
Duuh
kuna namna ya kuwapinga watu na wasijione kuwa wamekuwa segregeted coz sio kila shoga alipenda kuwa shogaa sidhan na siamini kuwa mashoga wote wamezaliwa na hormone za kike hell no bt kwenye swala la kukemeaa kuna njiaa mbali mbali za kumkanya mtu na kumuelemishaa and this inaanziaa kwenye malezi ya nyumbani kama mzazi hutakuwa makin na mtoto wako esp kwenye mitandao na kuwa karibu na mwanao usitegemeee kuwa mwenzio atakulindiaa mwanao so ukiona shoga usimtukane au kumaema in public eti ndo unapingaa haisaiii chochote


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,115
2,000
Kuna bar moja Dar wahudumu wote Ni mashoga. Aisee inajaa wazee wa heshima hutaamini. Giza likiingia ndio utaona maajabu
 

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,511
2,000
mwenye shida anamjuaa mwenzie nina marafiki kibao mashogaa na ukiona wanaotembeaa nao huwezi amini so piga kimy otherwise kama ni mmojawapo mla mashoga kwa siri usikarike utajijuaa na Mungu wako


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo.yako inaonekana wewe mtu kuwa.shoga au hata mtoto wako ndugu yako ni sawa ndio maana ukaweza kuwa nq ukaeibu nao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom