Ukiona movie ina hawa casts angalia lazima ni nzuri

Hellen Mirren huwa haaribu kazi

d823cb4468d4c72738f21142966d212b.jpg
 
Ni kweli baada ya mishe mishe kuna time ya kupata refreshments maisha ndo haya haya.
Baadhi ya actors na movies zao walizocheza 2020-2021 ambazo ni kali sana

The misfits 2021 humu unakutana na master plan pierce brosnan

The protege, humu unakutana na samuel jackson

The banker 2020 ya anthony mackie

The last man down 2021 ya daniel stisen

The hitmans wife bodyguard 2021unakutana na ryan reynolds na samuel jackson

The prisoners of the ghost land 2021 yake nicolaus cage

Kwa wale wa annimation kuna hii
The addams family

Ni mpenzi wa movie? Ongeza na zingine unazozijua
last man down hamna action naona gym motivation tu hapo
 
huyu mwanamama kwenywe HTGAWM...she was Spectacular

Sema Suicide Squad sikupenda performanve yake kwanza kiujumla sikuipenda Movie nzima ilikuwa utopolo+

Spoiler alert

...Kama yule weasel ndio nini ile sasa kufa kwenye maji
:D:D:Dnilitumia nguvu nyingi sana kujisahaulisha suicide squad na hata wakitoa sequel siwezi kuangalia. animations naangalia lakini.😁😁😁
 
MV5BNjQ2NDA3MDcxMF5BMl5BanBnXkFtZTgwMjE5NTU0NzE@._V1_QL75_UX500_CR0,47,500,281_.jpg

Morgan freeman
e.g. The shawshank Redemption 👆

MV5BOGE1YTI2NjItNDAyYy00YzI3LTlmNDUtYWU0ZmFlNWE3N2ViL2ltYWdlXkEyXkFqcGdeQXVyNTAyODkwOQ@@._V1_.jpg

Kevin Spacey
e.g The Negotiator
jamaa alikuja kujiharibia kwa tabia zake mbovu ila kazi anaijua.

face-off.jpg

John Travolta
e.g. FACE/OFF. Nadhani hii na Swordfish ni movie bora kwangu za huyu jamaa

james-mcavoy-angelina-jolie-wanted.jpg

James McAvoy
e.g. WANTED, hii movie mpaka leo nikitaka kuangalia movie kurelax, naicheki

black-dynamite-film-1108x0-c-default.jpg

Michael Jai White
e.g BLACK DYNAMITE.
Tangu 'Universal Soldier: The Return' hadi 'Blood and Bone' jamaa anavunja mifupa kwa kipondo ila haogopi kucheza filamu za 'kijinga' pia kama hii 'Black Dynamite' na 'Undercover Brother 2'

mqdefault.jpg

Woody Harrelson
e.g. Indecent Proposal
 
MV5BNjQ2NDA3MDcxMF5BMl5BanBnXkFtZTgwMjE5NTU0NzE@._V1_QL75_UX500_CR0,47,500,281_.jpg

Morgan freeman
e.g. The shawshank Redemption

MV5BOGE1YTI2NjItNDAyYy00YzI3LTlmNDUtYWU0ZmFlNWE3N2ViL2ltYWdlXkEyXkFqcGdeQXVyNTAyODkwOQ@@._V1_.jpg

Kevin Spacey
e.g The Negotiator
jamaa alikuja kujiharibia kwa tabia zake mbovu ila kazi anaijua.

face-off.jpg

John Travolta
e.g. FACE/OFF. Nadhani hii na Swordfish ni movie bora kwangu za huyu jamaa

james-mcavoy-angelina-jolie-wanted.jpg

James McAvoy
e.g. WANTED, hii movie mpaka leo nikitaka kuangalia movie kurelax, naicheki

black-dynamite-film-1108x0-c-default.jpg

Michael Jai White
e.g BLACK DYNAMITE.
Tangu 'Universal Soldier: The Return' hadi 'Blood and Bone' jamaa anavunja mifupa kwa kipondo ila haogopi kucheza filamu za 'kijinga' pia kama hii 'Black Dynamite' na 'Undercover Brother 2'

mqdefault.jpg

Woody Harrelson
e.g. Indecent Proposal

Wewe jamaa unajua ni wa Classic sana sikutegemea kama kuna mtu ataitaja
Indicent proposal
 
Back
Top Bottom