Ukiona movie ina hawa casts angalia lazima ni nzuri

Huyo Antonio nimeona muvi yake flani juzi hata sijaikubali movie wala jamaa mwenyewe.

huenda zipo movi alizochoza vizuri, lakini hii ya juzi ni sijaipenda.

Jamaa anajua ana Movie kali, i get it..ukimuona mara ya kwanza kumkubali inakuwa sio rahis lakin ukifuatilia anamovie nyingi kali ambazo yeye ni Main Character.. nyingne kama Supporting actor na bado katisha

The Banker - Mtoa uzi kaitaja hii movie ni nzuri kiasi kwamba dah! acha tu
Outside the wire
Altered carbon nahis ni season 2 sijui ile yupo na kwenye Black Mirror
Captain America-Winter soldier
The falcon and the winter soldier

Jamaa ana movie kibao kali
 
Umenikumbusha mkuu,
movie yenyewe inaitwa OUTSIDE THE WIRE, mimi sijaikubali hata kidogo.

kwani ina kitu gani cha ajabu?

napenda sana movie za aina ile, lakini kwa hiyo outside the wire uhalisia wa matukio yake ni hakuna kabisa.

mimi napenda movie hata kama uhalisia hakuna, walau basi iendane na akili.
 
image
 
Hapo nakuunga mkono hata mm nliona outside the wire kuwa ni
 
Jamaa anajua ana Movie kali, i get it..ukimuona mara ya kwanza kumkubali inakuwa sio rahis lakin ukifuatilia anamovie nyingi kali ambazo yeye ni Main Character.. nyingne kama Supporting actor na bado katisha

The Banker - Mtoa uzi kaitaja hii movie ni nzuri kiasi kwamba dah! acha tu
Outside the wire
Altered carbon
nahis ni season 2 sijui ile yupo na kwenye Black Mirror
Captain America-Winter soldier

The falcon and the winter soldier

Jamaa ana movie kibao kali
Hakika mkuu huyu anthony anajua
 
Umenikumbusha mkuu,
movie yenyewe inaitwa OUTSIDE THE WIRE, mimi sijaikubali hata kidogo.

kwani ina kitu gani cha ajabu?

napenda sana movie za aina ile, lakini kwa hiyo outside the wire uhalisia wa matukio yake ni hakuna kabisa.

mimi napenda movie hata kama uhalisia hakuna, walau basi iendane na akili.
Sema kila mtu na interest zake ila outside the wire tittle kali content hakuna
 
Back
Top Bottom