GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,876
Waendesha Pikipiki maarufu Bodaboda hatarini kupata maambukizi ya VVU kutokana na Kushawishika kwa kile wanachodai kuwa baadhi ya abiria wao wa kike huwalazimisha kufanya ngono zembe kutokana na Kutokuwa na Nauli za Kuwalipa na Kuwaambia Wamalizane.
Pengine serikali ianzishe utaratibu wa kuwa inatugawia Kinga (Kondomu) Kwenye vituo vyetu.
Ni Kauli ya Mmoja wa Weandesha Pikpiki wanaopaki eneo la Phantom Manispaa ya Shinyanga Siga Ngile Mkazi wa Shinyanga
Chanzo Taarifa: Cloudstv / CloudsDigitalUpdates
Kwa ninayoyaona Jijini Dar es Salaam hasa katika Vijiwe vya BodaBoda na jinsi baadhi ya Waendesha BodaBoda hizo ambao ni Marafiki ( Washkaji ) zangu wanavyoniambia kuhusu ' Kuwalala ' hovyo Wanawake ( hasa Wake za Watu ) huku wengine wakienda Kulala nao kwa ' Chap Chap ' kunako Mapori / Vichaka vya Jirani nakubaliana kwa 100% na hii Taarifa na huyu Mkazi wa Mkoani Shinyanga Bwana Siga Ngile.
Kuna Mmoja huniambia ya kwamba haoni sababu ya Kuoa tena kwani kwa idadi ya Wateja wake wa Kike ambao huwa anawala ' Uroda ' ili asiwe anawadai Nauli ( na wengi Wao ni Wafanyakazi wa maeneo ya Posta kwenye Ofisi Kubwa Kubwa ) ana uhakika wa kila Siku iendayo kwa Maulana / Mola Kulala ( Kutinduana / Kungonoana ) na Mmoja Wao. Anasema ya kwamba alikuwa na Malengo ya Kuja Kufanya Kazi Jijini Dar es Salaam kwa mwaka Mmoja tu kisha arudi Kijijini Kwako Kyaka Nkunde akafanya Kazi zingine lakini kwa Utamu wa ' Mbunye ' za bure bure za Wadada wapenda Kuteleza katika Ganda la Ndizi ( Wapenda Dezo Dezo ) huu sasa ni mwaka wake wa Tano yupo Jijini na wala hana tena hamu ya Kurejea huko Kwao.