katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,083
- 5,659
So tupande taxi utalipa ninunulie gari na uniwekee mafuta sio kila samaki ananuka shombo.
HahaSasa kama Mimi ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " kwanini nisiwe ' Knowledgeable ' Mkuu? Mtanuna na Kunichukia mno ' Wapuuzi ' nyie na hapa bado!
We jamaa una chembechembe za uhaya
Kumbe mtu wa kule kwetu misimamo mikali?
Muoneni huyu matako eti ukatae mbunye,mi Nampa na chenji kabisa
Hivi unawajua wansume au unawasikia
we jamaa banah basi sawa mkuu.Ina maana Siku zote uko hapa JamiiForums hujui kuwa GENTAMYCINE ni Mtu kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) Mkuu?