Ukiona migomo ya kuchangia makulibaliano halali ya Chama ujue wanauhakika kuwa hawarudi Bungeni na wala si ukorofi

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Pamoja na kwamba hawa wabunge wamekiuka taratibu halali za chama lakini wameupima upepo wakaona kwa kasi hii ya JPM uwezekano wa wabunge wa Upinzani kurudi ni mdogo yaani hawana uhakika kwa maana hiyo ni kwamba wameona bora watunze hata wanachopata kwa. Ajili ya baadaye ukizingatia wengine wanakatwa makato mengi ya mikopo kodi bodi ya mkopo na mingine mingi wahurumiwe
 
Mtoa mada umeona mbali, kwa wale wabunge wasiopenda kudhalilika baada ya muda wao kuisha, waje PM, nina maeneo kadhaa ya kufanyia biashara na ni mipango endelevu. Wanawake wanapewa kipaumbele....
 
Back
Top Bottom