Ukiona mchumba wako ana tabia hizi tambua ya kwamba ndoa yako itakuja kuwa ya shida

hua iko hv: kama we ni mzinzi utaoa mzinzi mwenzako,kama we ni mwizi utaoa mwizi mwenzako nk. nk.
 
Hebu acheni hizo.

In my normal outing nakibebaga sana tu, kama nimetoka mchana naenda home kuwasabahi nakibeba naweka vya kuweka pamoja na sweta maana huku nilipo hali ya hewa nayo mtihani ikifika jioni, kama ni sokoni naweka wallet ya hela na mifuko yangu ya kubebea vitu safi kabisa.....


Handbags nabeba ofisini tu.
Ah.. Kibegi sifanyi mishe zangu bila , naroll town na kibegi nikiwa show na kibegi.
 
Back
Top Bottom