Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,316
- 8,227
Hii ni nadharia yangu mwenyewe itakumbukwa vizazi na vizazi.
Ukiona kiongozi anachukiwa na viongozi wa vyama vya upinzani ila anapendwa na wananchi wa kawaida basi ujue huyo ndiye kiongozi imara.
Viongozi wafuatao walipaswa kuendelea kutumiwa na utawala wa CCM.
Ni viongozi wanaopendwa na wananchi ila hawapendwi na viongozi wa upinzani.
Hawa ni viongozi wanao jiamini na shupavu na wana ushawishi kwa wananchi. Sifa zao hizo ndizo zinazofanya wachukiwe na viongozi wa upinzani. Hawa walipaswa ndio waendelee kutumiwa na chama kwani ni hadhina ya CCM.
Ni hawa hapa.
1. Polepole
2. Sabaya
3. Makonda
4. Bashiru
Kama kuna niliye msahau hapa ongeza jina lake.