Ukinyang'anywa mtoto, unaweza kuchukua maamuzi kama haya?

Na nyie muachage kuzaa kama mbuzi. Hebu muolewe muzae na waume zenu muone kama kuna atakayewasumbua. Mnayatafuta wenyewe haya matatizo.

Wewe nawe mbafu zako, hatuzai kama mbuzi unakuta mtoto mwenyewe mmoja halafu mtu anakuja kukunyang'anya na wengine huwa hawasemi kama wameoa
 
Halafu wewe!!! Tulia kabisa nani unayemwita mbuzi?? Huna mama, dada., shangazi wewe unaweza kuwaita mbuzi??? Kuwa na heshima na adabu

Mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.
 
Nikukamata wewe kutuita sie mbuzi????
 
azae mtoto mwingine tu?we unadhani mtoto anaweza kua replaced??binafsi niko upande wa huyo mama...huyo mzee mshenzi kweli!

kwanza mbona alichelewa,angemalkizia kutenganisha kichwa na kiwiliwili chake.
 
Nikukamata wewe kutuita sie mbuzi????

Si bora hata nimesema mbuzi? Ningewaita mbwa kabisa ndiyo ingeendana vizuri na hiyo tabia ya kuzaa tu alimradi umezaa, kwa nini msisubiri kuolewa mzae katika ndoa zenu? Kama unaweza hebu jaribu kutafiti kidogo watoto waliozaliwa nje ya ndoa waulize wanavyojisikia, nakuhakikishia wanachukia sana hali hiyo maana inawanyanyapaa. Wanawake badilikeni muwape heshima watoto wenu.
 
Mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.

huyo babako na mamako ndo wamekufundisha maadili ya kuita wakubwa zako mbuzi
 
huyo babako na mamako ndo wamekufundisha maadili ya kuita wakubwa zako mbuzi

Hao unaosema nimewaita mbuzi sijawaita mbuzi bali wamethibitisha kwa matendo yao kuwa hawana tofauti na mbuzi na mbwa
 
mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.

una maneno machafuuu sana as if ..... Anyway nisije nikatoa maneno machafu buree.
 
Jamani LD,LIZZY,MATY angalie bwana mi nadhni huyu jamaa alimpata huyu dada kule kwenye 1000 au 1500 na km ujuavyo wbongo kondom kwe2 mwiko wakajkuta wamepata goli bila kutegemea ss coz yle mdada duu ile ndo kaz yake mtoto anakua hapati malez bora ndo maana dr akaona amchakachue.naungana na ST. RR sio wote waliozaa wanajua kulea wengi 2mewaona wakishazaa watoto wanapelekwa kwa nyanya zao kijijini wao wanaludi kutafuta mimba nyingne mtoa hoja angepata nafac ya kumuuliza yule dada anajishughulisha na nini?tatizo wanawake wa Dar kiswahli kireeeeefu.mm cmooo

Sawa nakubaliana na wewe na St.RR asilimia mia moja. Lakini angalia hapo juu huyu alikubali kuibeba hiyo mimba, uamuzi wa kwanza huo.

Akukakubali kumzaa, uamuzi wa pili.

Akakubali kumuacha hai huyo mtoto na kumlea hadi alipofikia, uamuzi mwingine huu.

Huku kote mwanaume huyu alikuwa hamtambui wala hamsaidii, Bado akaendelea kuumia na kumtafuta mtoto ake baada ya kuibiwa na huyo jambazi baba. Hivi kweli bado huyu sio mama??

Mi nadhani huyu dada ni mama haswaa manake kwa hali ya sasa na wanaume wengine walivyo kama wanyama asinge mzaa huyu mtoto, au angemzaa akamtupa, au akaenda kumwekea mlangoni.
 
si bora hata nimesema mbuzi? Ningewaita mbwa kabisa ndiyo ingeendana vizuri na hiyo tabia ya kuzaa tu alimradi umezaa, kwa nini msisubiri kuolewa mzae katika ndoa zenu? Kama unaweza hebu jaribu kutafiti kidogo watoto waliozaliwa nje ya ndoa waulize wanavyojisikia, nakuhakikishia wanachukia sana hali hiyo maana inawanyanyapaa. Wanawake badilikeni muwape heshima watoto wenu.

hebu acha uongo,mi nna marafiki zangu wengi tu wamelelewa na mama zao mbona hawaichukii hiyo hali? Kwani kuna shida gani kama mtu hataki kuolewa na anataka mtoto akizaa! Kila mtu ana maamuzi yake bana ilimrad havunji sheria.
 
Back
Top Bottom