Ukinunua 500 mb unapewa 250 mb huu n utapeli yakinifu airtel

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,988
Hayaa mambo nilijua tcra wameshayamaliza bado yanaendelea aise corona nyingine hii kha
 
Attachments

  • Screenshot_20200408-224151.png
    Screenshot_20200408-224151.png
    23.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200408-224041.png
    Screenshot_20200408-224041.png
    34.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200408-224215.png
    Screenshot_20200408-224215.png
    26.5 KB · Views: 1
Mwenzetu una matatizo ya macho au niaje? Unasave namba kwa herufi kubwa 😂😂 size ya maneno aisee dah!
Ila sio mbaya, msalimie Swai wa Moshi
 
mitanda
HAYAA MAMBO NILIJUA TCRA WAMESHAYAMALIZA BADO YANAENDELEA AISE CORONA NYINGINE HII KHA
Mitandao imekuwa shida halotel nao umekuwa slow tahamaki unakuta mb zimeisha na hujafanya ulichokusudia
 
Mwenzetu una matatizo ya macho au niaje? Unasave namba kwa herufi kubwa 😂😂 size ya maneno aisee dah!
Ila sio mbaya, msalimie Swai wa Moshi
We mwanamke mmbea kweli..mwanzo siku ona chochote,baada kusema wewe ndio nimeona.kweli watu wanakazi zao.😲😲😲
 
mitanda
Mitandao imekuwa shida halotel nao umekuwa slow tahamaki unakuta mb zimeisha na hujafanya ulichokusudia
Halotel siku hizi wanazingua najiunga 7gb za wiki lakini zinavyo isha ni hatari zina kwenda kama maji sio kama zamani.
 
Niliwahi kuwapigia hao Airtel, akapokea binti fulani, nikamuuliza huu mgawanyo mbona umekaa kiwizi wizi sana, alichonijibu. Nilikata simu mwenyewe.
 
Halotel siku hizi wanazingua najiunga 7gb za wiki lakini zinavyo isha ni hatari zina kwenda kama maji sio kama zamani.
Nimejiunga cha 2000 week GB 1.5 na MB 500 YouTube... Maajabu kimepiga siku zote 7
 
Nimejiunga cha 2000 week GB 1.5 na MB 500 YouTube... Maajabu kimepiga siku zote 7
Haaaa basi wewe utakuwa una hisa hapo..zamani walikuwa wapo poa ila kuanzia wiki mbili zilizo pita,ndio wameanza haka kamchezo kao..
 
Haaaa basi wewe utakuwa una hisa hapo..zamani walikuwa wapo poa ila kuanzia wiki mbili zilizo pita,ndio wameanza haka kamchezo kao..
Naona kina muda na muda... Kuna kipindi GB 7 zilikaa siku 4 tu
 
nmeishia tu kuangalia hvo ulivo save namba kwa herufi kubwa afu unasevu MBEZIII,MOSHIII duh nmeishiwa pozi kwa kweli

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom