Ukiniunganusha na kazi yoyote 250k, 50K nakupa wewe mwaka mzima

Hakuna mwenye kutaka mtu mwengine asifanikiwe ulinzi ni kazi sio mtu hata mimi naweza kuwa mlinzi nanishawai kuitaka iyo kazi ila point uwelewe Duniani tunapata ujira kulingana na thamani yako ikiwa eti mlinzi atalipwa 500K+ hakuna atakayeenda poteza muda shuleni kumbe ukiwa mlinzi tu una 500+ hivyohivyo eti wafanya kazi wachini viwandani watataka 500+ hakuna dunia hiyo mkuu.

Sawa mkuu.
 
Relief ukimsoma October man na kama unapitia sana jukwaa la biashara na uchumi utaona harakati zake.
Yaani ana harakati mno kupitia malengo yake, ni mtu ambaye akipata sehemu au mtu wa kumshika mkono atafikia malengo yake.
Binafsi nami najikongoja ndo maana nashindwa kumsaidia huwa natamani sana ila ndo hivyo.
Nini kinakukwamisha sasa mkuu?? I would really like to know
 
Relief ukimsoma October man na kama unapitia sana jukwaa la biashara na uchumi utaona harakati zake.
Yaani ana harakati mno kupitia malengo yake, ni mtu ambaye akipata sehemu au mtu wa kumshika mkono atafikia malengo yake.
Binafsi nami najikongoja ndo maana nashindwa kumsaidia huwa natamani sana ila ndo hivyo.
Cresida naelewa unachokisema, nimeacha nowadays kupitia huko. Sijawahi msoma huyu mdau ila tu ni muhimu kuwa makini.

Just so you know, kuna members karibu watatu humu nimewaajiri kwenye taasisi yetu na wengine ambao wamepata ajira kupitia mimi ila..... you need to be careful that's all
 
@Cresida ni Dada yangu wa muda humu na sio lazima msaada wake uwe physically kwangu Encourage yake kwangu inatosha nilishajiwekeaga humu itapofikia muda nitakuja na kitu kwake hata kama tujawai onana.

Naamini katika mimi wala sijachelewa hata mwaka bado tangu nihitimu chuo.
 
Mkuu nina uhakika hujachelewa kabisa, nimelisoma bandiko lako vyema na mimi nakuombea Mungu, utafikia tu malengo yako mzee.
 
Naomba msaada wako mkuu nahitaji ajira. Nina Degree ya Logistics
Mawasiliano 0759330110
Naishi Mwanza
Cresida naelewa unachokisema, nimeacha nowadays kupitia huko. Sijawahi msoma huyu mdau ila tu ni muhimu kuwa makini.

Just so you know, kuna members karibu watatu humu nimewaajiri kwenye taasisi yetu na wengine ambao wamepata ajira kupitia mimi ila..... you need to be careful that's all

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You have a point.
Sijawai kuwa Desperate mkuu, ninamaana yangu kufanya hivyo target sio uwo mshahara ninaweza fanya mwaka mzima nisiguse uwo mshahara target kitu kingine kabisa.

Lengo langu mipango yangu iyende kwa muda muda hausubili ninauwezo wa kupata kazi ya mshahara 800,000+ na wenye security ya maana ila sio leo wala kesho itachukua miaka 3 hadi 4 je malengo yangu nisubili mpaka nipate iyo kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia, Malengo, Mihemko, Ujuvi, Patience, Quick Schemes, Hope & Despair.

Ukiwa Chuo unawaona walio mtaani bila mishe yoyote kama wajinga na wavivu kupindukia.

Things aren't that easy !

Relax and build your own ways.
 
Hiyo 50k per 12month parefu mno kwa kijana unaetaka tengeneza future yako. Hapa utaona rahisi kwakua hujapata ila ukipata utagundua ulijivika kitanzi.
Ukiwa na njaa unaweza kubali kufanya lolote ref..Kaka yake yakobo alivyouza status yake kisa njaa
mkuu uko sahihi sana iyo 50 kwa kuisema ni rahisi mziki ukisha anza kazi unaona hela haitoshi tena
 
Back
Top Bottom