Ukiniunganusha na kazi yoyote 250k, 50K nakupa wewe mwaka mzima

Siamini Kama unaugumu wa Maisha kiasi Cha kujishusha kiasi icho.
Mtaani kwako naamini Kuna watoto chini ya miaka mitano wengi tu
pitia wazazi wao waambie unaelimu ya chuo kikuu unataka uwafundishe watoto zao masomo ya awali
kwa walio msingi na sekondari utawafundisha masomo ya jioni Ada 20 kwa mwezi vichwa vyako10 kwa mwezi una 200 bila jasho.
Ukitengeneza jina vizuri utapiga Ela utashangaa
 
Hey put Full stop dot Boss ‘SIJAWAI KUWA NA UGUMU WA MAISHA PLEASE’ vyema ukasoma kila Post ndio u-post pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relief ukimsoma October man na kama unapitia sana jukwaa la biashara na uchumi utaona harakati zake.
Yaani ana harakati mno kupitia malengo yake, ni mtu ambaye akipata sehemu au mtu wa kumshika mkono atafikia malengo yake.
Binafsi nami najikongoja ndo maana nashindwa kumsaidia huwa natamani sana ila ndo hivyo.
Kiukweli nilidhani ana elimu ya biashara, uchumi au ni mfanyabiashara pasee. Nakubali harakati na ningekuwa na connection kubwa ningejitoa ila bado hata mimi sijakaa stable sana katika career yangu. Kama unajua vile private sector ilivyo na mbaya uwe katika service industry

Nachoweza kumshauri kama ataweza aanze na kazi ambazo zipo result oriented (haziangalii cheti sana). Mfano sales, Makampuni kila siku yanatoa hizi chances na hawajali kuhusu vyeti maana unalipwa kwa kamisheni kutokana na kazi uliyoifanya. Ni kazi ngumu kiasi lakini kwa nature yake naona kama ataiweza (nilishawahi kuifanya pia kwa miezi minne na nikaona sio kitu nachotaka)

Cha muhimu aangalie zile places ambazo wanatoa huduma kwa makampuni au hata kama ni ya kawaida bhasi iwe brand kubwa ambayo anaona kuna potential. Kuna mass media, makampuni ya simu, makampuni ya software na mitandao and the list is endless

Akianza hapo na akafanya vizuri kwa malengo. I'm sure itakuwa rahisi kwake kupata fursa zaidi.

Samahani kwa gazeti langu maana kuna ya kuandika mengi ila nimejitahidi kuwa brief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kweli hali ni ngumu , mwenye nafasi amsadie mwenetu huyo
 
Huyu Jombaa anashindwa nini kuanzisha tuition centre? Afundishe hata watoto wa shule ya msingi, afundishe hata chekechekea, aanzisha hata kindergarten.
Najua sio rahisi ila kama umepata Elimu kidogo ila unakuja unalia lia hapa unataka utoe elfu 50? Kiufupi its impossible. Kuongea rahisi ila hesabu hizo hazipo. Mtaishia kugombana tu.
Jombaa akafundishe hata shule za kujitolea . Labda kama jombaa hana hio elimu
 
Sio jukwaa la biashara Boss.

Kama kila aliyemaliza ualimu akianzisha tuition centre hapa mjini patakuwa hapatoshi, wengine inabidi waajiriwe ili mambo yaende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom