Ukinijibu wewe ni demu wangu,ukiniacha unaniogopa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,361
Kati ya hawa wasanii nani atamjibu dogo na kukubali kuwa demu wa Young Killa au akae kimya kuonesha anamuogopa
Young Dee
Dogo Janja
JoH Makini
Baraka Da Prince
G Nako
Mondi nk?
 
inamaana young dee na joh wamekua madem skuhiz huyu dogo hizi kick ztampeleka pabaya
 
Naona joh ameshajibu! na yeye young killer subiri hukumu yako siku ukija chuga
 
Kati ya hawa wasanii nani atamjibu dogo na kukubali kuwa demu wa Young Killa au akae kimya kuonesha anamuogopa
Young Dee
Dogo Janja
JoH Makini
Baraka Da Prince
G Nako
Mondi nk?
Kwa wanaojielewa sidhan kama kuna haja ya kumjibu.
Mfano diamond aliupost kwenye page ya insta kama siku nne nyuma akiwasihi watu wakausikilize yani akimuombea support toka kaa shabiki zake...
 
Kwa wanaojielewa sidhan kama kuna haja ya kumjibu.
Mfano diamond aliupost kwenye page ya insta kama siku nne nyuma akiwasihi watu wakausikilize yani akimuombea support toka kaa shabiki zake...
Hata sielewi mnajadil nn hapa!. Naomba unieleweshe please
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom