Wenzako washaanza kujipanga kwa ajili ya 2025 🤣.
Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe.
And let me guess, Shangazi 2025 🤣🤣🤣
Huu ndio ukweli, kuna reforms ambazo zilitakiwa kufanywa kabla ya kuingia uchaguzi mkuu k.v katiba mpya hii ilitakiwa kudaiwa kwa nguvu zote hata kabla ya uchaguzi mkuu na pia tume huru ya uchaguzi.Teh teh, tulianza na TWENDE NA MEMBE, upepo ukamgeuka ikaja NI YEYE! The thing is, upinzani na watu wake huwa hamjitambui, hamuangalii nyakati tulizo nazo. Without a free NEC and other institutions, bila kumpunguzia madaraka raisi, kizazi chetu kitapita bila kuona upinzani kuongoza dola.
2025 chadema inabeba nchi, bado miaka 5 tu sio mbali.Nategemea katika miaka mitano hii wafuasi wa CCM watauwana sanaa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wananchi au wezi? Tofautisha wezi na wananchi. Hao wawili ni tofauti mno.Hii jeshini tulikuwa tunasema kumtoa mtu umaarufu...Chadema mlijifanya maarufu sana sasa leo wananchi wamewaadabisha.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tanzania Inaomboleza Hii Aibu KubwaYani huu wizi hata waliomshauri mfalme wamechemka! Ni aibu sana
Hizi reforms zisingewezekana, CHADEMA ilisusia uchaguzi wa serikali za mitaa, Labour Party ya Mrema na UDP ya Cheyo wakasema hawaoni mapungufu ya NEC na jumuia ya kimataifa ilijulishawa uchaguzi utajumuisha vyama vingi.Huu ndio ukweli, kuna reforms ambazo zilitakiwa kufanywa kabla ya kuingia uchaguzi mkuu k.v katiba mpya hii ilitakiwa kudaiwa kwa nguvu zote hata kabla ya uchaguzi mkuu na pia tume huru ya uchaguzi.
Kwa mazingira haya tuliyonayo Tz hatutaweza kubadili chama cha siasa kuongoza nchi. Haitaokea kura zikabadili matokeo ya uchaguzi. Sasa huu mmeona ni mfano na mwanzo mengi makubwa yanakuja.
Hii jeshini tulikuwa tunasema kumtoa mtu umaarufu...Chadema mlijifanya maarufu sana sasa leo wananchi wamewaadabisha.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Vuta pumzi vizuri ni kawaida ya penicillin injection kuuma...vumilia dawa iingie vizuri kijana.Ni wananchi au wezi? Tofautisha wezi na wananchi. Hao wawili ni tofauti mno.
Wezi na majambazi ni wale wale Ila vifaa vya kazi tu.
nilishA sema hili na nina rudia tena, haya maneno sasa leo wananchi wamewaadabisha tafadhari yasitumike popote kana kwamba wananchi ndio walikuwa hatma ya uongozi wa Tanzania hii si kweli. Lazima tukubali kuwa tulikuwa kwenye igizo la uchaguzi na hatukuwa kwenye uchaguzi. Aliye waangusha viongozi wa upinzani ni tume ya uchaguzi na sio watanzania fullstop😒Hii jeshini tulikuwa tunasema kumtoa mtu umaarufu...Chadema mlijifanya maarufu sana sasa leo wananchi wamewaadabisha.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wewe unafikiri hivyo vitu vinajileta vyenyewe bila kupiganiwa?Teh teh, tulianza na TWENDE NA MEMBE, upepo ukamgeuka ikaja NI YEYE! The thing is, upinzani na watu wake huwa hamjitambui, hamuangalii nyakati tulizo nazo. Without a free NEC and other institutions, bila kumpunguzia madaraka raisi, kizazi chetu kitapita bila kuona upinzani kuongoza dola.
wewe mdangaji wa usa utachapwa nao humu pambaf kabisaWenzako washaanza kujipanga kwa ajili ya 2025 🤣.
Hawa watu akili zao wanazijua wenyewe.
And let me guess, Shangazi 2025 🤣🤣🤣
Hakukuwa na hajaUkimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.
1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90% basi inamaana mtihani ulikua rahisi sana. Sasa ukimzidi mshindani wako kwa 90% angalia mchakato mzima wa kumpata mshindi ulikuwaje?
2. Mshindani wako ulimminya kiasi cha kukosa nguvu kabisa katika shindano? Ni sawa na kuwa ulishindana na maiti isiyo na uwezo wa kujitetea. Katika hali hii kulikuwa na haja ya kuwa na shindano?
Utatukana matusi yote hadi utaishiwa!wewe mdangaji wa usa utachapwa nao humu pambaf kabisa
Hizi reforms unazipataje bila kutumia platforms za kisiasa ?Huu ndio ukweli, kuna reforms ambazo zilitakiwa kufanywa kabla ya kuingia uchaguzi mkuu k.v katiba mpya hii ilitakiwa kudaiwa kwa nguvu zote hata kabla ya uchaguzi mkuu na pia tume huru ya uchaguzi.
Kwa mazingira haya tuliyonayo Tz hatutaweza kubadili chama cha siasa kuongoza nchi. Haitaokea kura zikabadili matokeo ya uchaguzi. Sasa huu mmeona ni mfano na mwanzo mengi makubwa yanakuja.
Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.
1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90% basi inamaana mtihani ulikua rahisi sana. Sasa ukimzidi mshindani wako kwa 90% angalia mchakato mzima wa kumpata mshindi ulikuwaje?
2. Mshindani wako ulimminya kiasi cha kukosa nguvu kabisa katika shindano? Ni sawa na kuwa ulishindana na maiti isiyo na uwezo wa kujitetea. Katika hali hii kulikuwa na haja ya kuwa na shindano?
Wewe unafikiri hivyo vitu vinajileta vyenyewe bila kupiganiwa?
Na unafikiri vitapiganiwa wapi kama siyo kwenye platforms za kisiasa kama uchaguzi ?
Na unafikiri ni jukumu upinzani pekee kutengeneza taasisi huru na za kidemokrasia nchini ?
Tumia kichwa kufikiri siyo pumbu.