Ukimya wa wazee wetu unamaanisha nini?

Kasote

Member
Jul 27, 2018
34
33
Tangu sakata la Lissu kupigwa Risasi akiwa anahudhuria vikao vya Bunge, Matibabu yake nchini Kenya na Ubelgiji wazee wetu wamekuwa kimyaa as if hawapo kabisa nchini.

Juzi Lissu kaanza ziara nchi za Ulaya na Marekani kuelezea kwa undani yaliyomtokea kwenye shambulio lake la kutaka kutoa uhai wake na Mambo mengine ya kisiasa ya nchini kwetu, lakini wazee ni kimyaaa!!

Yamesemwa mengi sana na watu mbalimbali lakini hatujawahi kusikia kauli hata ya mzee mmoja kusema chochote kuhusu majibizano haya yanayoendelea nchini kati ya Lissu, CCM na Serikali yake.

JE:-
1. Woga kuogopa kuambiwa wanawashwawashwa?
2. Ni dalili ya kuichoka na kuisusa Serikali ya CCM ?
3. Kule kusemwasemwa kwamba nchi hii as if haikuwa na viongozi huko nyuma kwani kuna mambo ya hovyoo yalitendeka - kauli hii inaweza kuwa imewauma sana
4. ama wameamua kupumzika na kuiacha hatma ya Tanzania mikononi mwa vijana - wao wale pesheni zao taratiiibu...

Nini maoni yako kuhusu hawa wazee??? mimi siwaelewi elewi maana kuna msemo unasema " kwenye wazee haliharibiki jambo" Sasa mbona jambo linataka kuharibika na wazee wapo kimya??
 
Wanajua dogo atajikwaa wapi, wamekunja nne wanacheka tu
 
Hivi wazee walipoitwa magogoni ulikuwepo au ulikuwa haujazaliwa?
Inamaana haukusikia kabisa walichokisema au unataka tuwawekee maneno midomoni mwao?
 
Back
Top Bottom