Ukimya wa vyama vya siasa baada ya taarifa ya mazungumzo kunatoa tafsiri gani?

Oct 8, 2017
28
117
Si chama Tawala wala vyama vya mapinduzi wala vyama vya mageuzi wala vyama vya wafanyakazi wala Jumuhia yoyote iliyojitokeza kupongeza au kukosoa au kutoa maoni mbadala juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya JMT na Barrick ,

Je hii inamaanisha kuwa taarifa imeeleweka vyema na hakuna la kuongeza au bado wanaitafakari taarifa husika?
 
Hakuna taarifa pale, tulitaka kuzima trend ya Lisu tu, rejea mkalimani alivochomolewa
 
Si chama Tawala wala vyama vya mapinduzi wala vyama vya mageuzi wala vyama vya wafanyakazi wala Jumuhia yoyote iliyojitokeza kupongeza au kukosoa au kutoa maoni mbadala juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya JMT na Barrick ,

Je hii inamaanisha kuwa taarifa imeeleweka vyema na hakuna la kuongeza au bado wanaitafakari taarifa husika?
CCM wafanye nini huku wamepigwa KO??
 
Kwanini mlimchimoa mkalimani?

anyway wakisema maoni yao mnawaita "team wasio Na jema" Sasa bora wanyamaze tu!

endeleeni Na maigizo yenu
 
Lingekua jambo jema ungeshawasikia wakipongeza, ila kwa sababu tumeangukia pua wanaogopa kupimwa mkojo
 
Watoe maoni gani kwa mapendekezo yanayosubiria "APPROAVAL" ya London ndiyo yawe Makubaliano?!!
 
Si chama Tawala wala vyama vya mapinduzi wala vyama vya mageuzi wala vyama vya wafanyakazi wala Jumuhia yoyote iliyojitokeza kupongeza au kukosoa au kutoa maoni mbadala juu ya taarifa ya mazungumzo kati ya JMT na Barrick ,

Je hii inamaanisha kuwa taarifa imeeleweka vyema na hakuna la kuongeza au bado wanaitafakari taarifa husika?

Unajua imebaki miaka mitatu tu kampeni za uchaguzi zianze na nina hakika tutakuwa hatujalipwa hata senti moja na hao BARICK. Hivyo, huu ni mtaji wa kisiasa utakaozungumzwa kwenye kampeni na wala vyama havihitaji kuzungumza sasa hivi.
 
Back
Top Bottom