Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,162
- 3,162
Sitaki kuandika mengi. Mimi nilikuwa adui mkubwa wa Lowasa, nilimchukia kwa tuhuma zake, lakini nimejikuta namuunga mkono kwa kuwa kipindi chote cha kampeni hadi sasa serikali ya CCM imeshindwa kuleta document za ufisadi wa Lowasa. Siku Dr Slaa anatoa hotuba ya kujiondoa Chadema niliamini hiyo ndio siku akina Mwakyembe watawakilisha vielelezo vya ufisadi wa Lowasa. Kitendo hiki cha kutotoa vielelezo kinanifanya nimuone Lowasa kama binadamu aliedhulumiwa kuliko wote Tanzania