Ukimya wa serikali ya CCM unanifanya kuwa na imani na Lowasa zaidi

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,162
3,162
Sitaki kuandika mengi. Mimi nilikuwa adui mkubwa wa Lowasa, nilimchukia kwa tuhuma zake, lakini nimejikuta namuunga mkono kwa kuwa kipindi chote cha kampeni hadi sasa serikali ya CCM imeshindwa kuleta document za ufisadi wa Lowasa. Siku Dr Slaa anatoa hotuba ya kujiondoa Chadema niliamini hiyo ndio siku akina Mwakyembe watawakilisha vielelezo vya ufisadi wa Lowasa. Kitendo hiki cha kutotoa vielelezo kinanifanya nimuone Lowasa kama binadamu aliedhulumiwa kuliko wote Tanzania
 
Upuuzi mtupu! Hujasoma Taarifa ya Richmond?? Jinga kabisa!!
 
Sitaki kuandika mengi. Mimi nilikuwa adui mkubwa wa Lowasa, nilimchukia kwa tuhuma zake, lakini nimejikuta namuunga mkono kwa kuwa kipindi chote cha kampeni hadi sasa serikali ya CCM imeshindwa kuleta document za ufisadi wa Lowasa. Siku Dr Slaa anatoa hotuba ya kujiondoa Chadema niliamini hiyo ndio siku akina Mwakyembe watawakilisha vielelezo vya ufisadi wa Lowasa. Kitendo hiki cha kutotoa vielelezo kinanifanya nimuone Lowasa kama binadamu aliedhulumiwa kuliko wote Tanzania
Usiwe mjinga, waulize kina mbowe ushahidi wameweka wapi, hao ndo "waliomchafua"!
 
Uko sahihi kabisaaa.. Na serikali wameshakwambia hadi sasa hawajapata kesi ya kuingia kwenye mahakama ya mafisadi. Note hakuna fisadi tz hadi sasa.
 
Back
Top Bottom