UKIMWI

GosomaHq

New Member
Jul 20, 2018
2
0
Naomba kujua hivi mtu mwasilika ni kweli akimeza baadhi ya dawa kama piritoni akipima HIV kwa mda huo huwa inasoma negative?
 
Sio kweli kabisa, hata usipomeza dawa yoyote ukipima muda huohuo Unatoka kufanya mapenzi na muathirika wa VVU haitaonesha ni reactive hadi window period ipite
 
Back
Top Bottom