Ukimwi: Mbeki atuhumiwa kupotosha umma

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,091
1,151
Magazeti na vyombo vya habari kwa jumla nchini Afrika Kusini leo vimekuwa vikijadili sera ya ukimwi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Thabo Mbeki.

Swala hilo limeibuka upya baada ya Mbeki kujaribu kujieleza kupitia kwa blogu yake kuwa hakuwahi kukataa kuwa virusi vya HIV ndivyo vinavyosababisha Ukimwi.

''Sijawahi kudai kuwa virusi vya HIV ndivyo vinavyosababisha ukimwi ''

Wakati wa utawala wake Mbeki alituhumiwa kwa kukanusha madhara yanayoletwa na maambukizi ya HIV/Ukimwi.

''Ukosefu wa kinga mwilini unaletwa na mseto wa maradhi ambayo chanzo chake kinafahamika. Ukosefu huo hauwezi kusababishwa na kirusi hicho kimoja '' Alihoji bwana Mbeki.

''Kulingana nami (Mbeki) Ukosefu wa kinga kwa hakika unasababishwa na mseto wa maambukizi'' alikariri Mbeki .

Rais huyo Mstaafu alisema mwaka wa 2006 kuwa HIV ndio inayosababisha vifo zaidi ya maradhi yote mengine nchini Afrika Kusini.

Kifuo kikuu ndio uliokuwa ukiorodheshwa wa pili wakati huo.

Rais huyo mwenye umri wa miaka 73 hakuomba msamaha na kuwaudhi sana wanaharakati wa haki za kibinadamu ambao walidai msimamo huo tata ulikuwa wa kupotosha na kuwa ungesababisha maambukizi mengi zaidi na hatimaye vifo.

Chanzo: BBC Swahili
 
Ok kama hakuna virusi naomba unijibu maswali yafuatayo;-
a)Huu ugonjwa ambao watu wanaambukizana kwa mfuatano ni nini?
b)najua kuna watu au mataifa yenye nguvu ambayo yako against huu uongo wa ukimwi...ni kwa nini hawajatoka hadharani kukanusha kuhusu uwepo wa ukimwi?
 
Kwanza nikurekebishe;
Huyo unayemuuliza maswali hayo hakusema kwamba hakuna virusi,bali alisema hakuna virusi vya ukimwi.Sina uhakika kama umeona tofauti yoyote hapo,pia sidhani kama umegundua uzito wa kile alichokisema mwenzako,kwa maana kama hutulizi ubongo wako na kama umejiandaa kupinga tu,basi kamwe huwezi kuelewa ukweli wa jambo hili.

Jibu la swali (a):
Kuna magonjwa mengi ambayo watu wanaambukizana kwa mfuatano,he he heee,labda nikupe mfano mmoja,kwani wewe hujui kama TB huambukiza kwa mfuatano?Baba anaweza kumuambukiza mkewe na hata mtoto wake ambaye analala naye kitanda kimoja,je,ni kweli wewe hujui hili au unafanya makusudi?

Je,TB inasababishwa na HIV?Kama inasababishwa na HIV naomba ututhibitishie hapa.Dalili za TB ni zilezile tunazoambiwa kwamba ni za ukimwi,he he heee,ujinga bwana!!!

Dalili za TB;
-Homa za mara kwa mara,
-Kukohoa kwa muda mrefu,
-Kukonda sana,
-Kupungua uzito,
-Kukosa nguvu,
-Kuharisha au kutapika hasa kama ni GI TB.

Je,hizi sio dalili ambazo wewe umeambiwa ni za ukimwi?Sasa kama TB nayo ina dalili hizi naomba mimi nikuulize wewe,Je,ukimwi ni nini?Kuna magonjwa mengi ya dalili zinazofanana na hizo hapo juu,jitahidi kuutumia ubongo wako vizuri utajua tu.

Jibu la swali (b);

Wewe unatakata mataifa yajitokeze kukanusha kuhusu uwepo wa ukimwi,kwani ni nani kasema hakuna ukimwi?Tuletee hapa mwanasayansi yeyote kati ya wale wanaopingana na nadharia ya HIV/AIDS ambaye aliyesema kwamba hakuna ukimwi,ukishindwa kufanya hivyo basi wewe utakuwa huelewi hata kile unachokisimamia na pia hujui unashindana na hoja zipi,hii ni mbaya sana kwako.Ndio maana nasema ili uelewe unatakiwa utulize ubongo wako,usijiandae kupinga tu,ukiwa mpingaji tu hutaweza kuelewa hata 'basics' za suala hili.Elewa kwanza basics/misingi ndio utaelewa yale ya ndani.
Thabo Mbeki sio mtu mdogo,ni mtu anayejiheshimu,hazungumzi kwa kukurupuka tu,hivi hata hili huwezi kujiuliza kweli?Ulishajiuliza Mbeki anapate faida gani kwa kudanganya watu?au ndio ameshakuwa chizi?

Pia wewe ndio hujui kwamba kuna watu wengi sana wameshajitokeza kupinga nadharia hii ya HIV/AIDS,narudia,wewe ndio hujui,na hujui kwasababu hufuatilii mambo haya na hujajiandaa kufuatilia.

-Unamjua Prof.Peter Duesberg?Mfuatilie huyu profesa halafu niambie kama naye ni chizi au la.
-Unamjua Prof.Kary Mullis?Huyu ndiye aliyegundua PCR,kile kipimo ambacho kinategemewa kupima huyo HIV feki.Kary Mullis naye anapinga nadharia hii,wewe hujiulizi?Mfuatilie na huyu pia.Pia fahamu kwamba Kary Mullis hakugundua PCR mahsusi kwa ajili ya kupimia HIV, la hasha,maana kama sikukuambia hivi unaweza kuuliza maswali mengi hapa kama vile "sasa kwa nini anapinga wakati yeye ndiye kagundua kipimo cha HIV?",najua utaanza kuuliza maswali kama haya.

-Pia Prof Luc Montagnier,mgunduzi wa huyo HIV(feki) anasema hajawahi kumuona HIV,he he heee,najua wewe hujui hili na najua pia hii itakushangaza sana.Luc alisema kwa mdomo wake kwamba hajawahi kumuona HIV kwenye damu ya mtu.Sasa kama hajawahi kumuona HIV,amejuaje kama HIV ndiye anasababisha AIDS na anasababishaje AIDS?Hivi vitu vinahitaji utulie sana.

Wapo wanasayansi lukuki wanaopinga hii nadharia,wewe hujui tu.Pia usifikiri kupinga nadharia hii hadharani ni rahisi kama unavyofikiri kirahisirahisi,kuna wanasayansi(madaktari) walishauawa kwasababu ya kufanya kampeni ya kupinga nadharia hii,unamjua Robert Willner wewe?Hebu mfuatilie huyu daktari ambaye alithibitisha kwa kujidunga damu ya mtu anayetumia ARVs(yaani ambaye watu wanajua ana HIV),alijidunga damu ya namna hii mara nyingi tu lakini kila akipima alipata majibu ya HIV-,wewe humjui huyu Dr,narudia,huyu ni Dr,yaani MD,sio kilaza,yaani anajua nondo za udaktari.Sasa mfuatilie huyu pia.

Pia huyohuyo Thabo Mbeki aliondolewa madarakani mwaka 1 kabla ya kumaliza kipindi chake cha urais kwasababu hii hii ya kupinga jambo hili,halafu wewe unachukulia kwamba kupinga suala hili hadharani ni jambo jepesi sana,wewe hujui tu.

Hiyo uliyoleta wewe ni habari tu kama habari nyingine zitokazo kwenye vyombo vya habari,lakini Je,ukweli kuhusu watu wa SA wanavyolichukulia suala la HIV/AIDS nchini kwao unaujua?Kama huujui na hujawahi kufika SA,basi muulize mtanzania yeyote aliyewahi kuishi SA kwa muda mrefu utajua tu.Yaani watu wa South Africa hawaogopi HIV/AIDS,wanaogopa malaria na magonjwa mengine ambayo ni halisi,wewe uliza utajua tu.Na wanajiamini hivi kwasababu Thabo Mbeki alishawatoa ujinga huu.Viwanda vya madawa ya ARVs vilipoteza sana soko la wateja wa ARVs kule SA baada ya Mbeki kufanya kampeni hii,ndio maana wakafanya njama za kumtoa kwa kumpandikizia kashfa nyingine.

Cha kushangaza sasa,baada ya Zuma kuingia madarakani tu akaanza na kampeni dhidi ya HIV/AIDS kwa nguvu zote ili kurudisha imani ya wananchi kuhusu HIV lakini haikufaa kitu,watu walishazinduka zamani sana.Sasa hivi wanawapata wajinga wachache sana SA kuliko kipindi cha mwanzo.Fuatilia pia kampeni za zuma dhidi ya HIV/AIDS uthibitishe kwamba kweli Zuma alitumwa kufanya kazi maalum na sio kuongoza SA,hapo ndipo utakapojua kwamba watu waliopo nyuma ya mradi huu ni wakubwa sana kuliko unavyofikiri.

Angalizo:
Pia inaonesha hata habari yenyewe hujaichunguza vizuri,ndio maana nikakwambia unahitajia kutulia sana unaposoma kitu.Hebu angalia baadhi ya maandishi ya habari hiyo yanavyosema halafu chunguza mwenyewe tatizo liko wapi;

"Swala hilo limeibuka upya baada ya Mbeki kujaribu kujieleza kupitia kwa blogu yake kuwa hakuwahi kukataa kuwa virusi vya HIV ndivyo vinavyosababisha Ukimwi "

Halafu angalia hapa chini Thabo Mbeki anavyosema kutokana na habari hiyo uliyoleta wewe;

''Sijawahi kudai kuwa virusi vya HIV ndivyo vinavyosababisha ukimwi ''

Je,umegundua tatizo lolote kwenye habari hiyo uliyoleta?Sasa kama habari mnazozisoma ndio hizi sijui mnategemea nini.
 
From Sir With Love said:
Deception

Naomba kuelewa kama mama anaweza kumwambukiza mtoto HIV virus
Mkuu,kwa nilivyomuelewa Deception ni kwamba,hakuna HIV

HIV hayupo kwasababu hajawahi kufanyiwa isolation/kutenganishwa au kuonekana katika maabara yoyote au ndani ya damu ya mtu yoyote yule Duniani

HIV ni hoax/uongo unaotumiwa na Pharmacentical companies kutengeneza pesa

Ni harmless retrovirus aliyepewa jina la HIV,lakini kiuhalisia,huyo HIV hayupo

So HIV hasababishi Ukimwi,na wala haumbukizi huo ugojwa

Hivyo basi,Mama hawezi kumwambukiza mwanae HIV,kwasababu HIV hayupo.

Pindi mtoto huyo anapopimwa na kugundilika kuwa ni HIV+,haina maana kuwa,kwenye damu yake kuna hao HIV.Hapana

Kumbuka kipimo chenyewe,ELISA hakipimi hao HIV[Feki],bali kinapima kiwango cha antibodies[au protini fulani] ambazo zinasemekana kusababishwa na hao HIV[Feki]

Lakini hizo antibodies zinapatikana hata kwa mtu ambaye ni HIV- na kina mama wajawazito

[Nipo sahihi Deception?]
 
Ha ha ha Elimu ya utuuzimani hii, alichoeleza deception ni kwamba Ukimwi upo, lakini HIV (ambaye ndo tumeaminisihwa ni kirusi kinacholeta huo ukimwi) hicho kirusi cha HIV ndo Hakipo ni uzushi wala hakuna maabara iliyogundua huyo HIV, Sasa swali langu ni hili je?? hicho kinachosababisha Ukimwi kinaitwa nani hicho kirusi au ndo tujue kwamba kinachoangaliwa ni hizo antibodies zikiwa chache ndo unao au???? Hebu endeleeani kutufumbua macho binafsi niliamini huyho HIV yupo, duh, Mungu atulinde ila yale maradhi jamani yanatesa sana dakika za mwisho.
 
MOJA:

HIV=AIDS Denialism Community inaeleza kwamba baadhi ya sababu zinazosababisha Ukimwi ni;

1. MALNUTRITION. Lishe duni including kukosa safe & clean water, etc. Katika hili, ndo maana AIDS rates zipo juu sana huku kwetu Africa, in particular Sub-Saharan Africa coz nchi hizi most of people are living in 'extreme' poverty! Kuna some families zinabahatisha mlo mmoja tu kwa siku.

2. PROLONGED USE OF DRUGS i.e. ANTIBIOTICS, RECREATIONAL DRUGS (POPPERS FOR HOMOSEXUALS), COCAINE, EXCESSIVE USE OF ALCOHOL, etc. Ukweli kutoka 'site'... we mwenyewe nadhani huwa unaona jinsi mateja (watumia dawa za kulevya) wanalivyodhoofika afya.

3. RADIATIONS and CHEMOTHERAPY for cancer patients. Ndo maana wagonjwa wengi wa cancer wanaopata tiba hii hudhoofika zaidi mfano kunyonyoka nywele, n.k

4. STRESS. Hili liko wazi, msongo wa mawazo ambao ni excessive na muda mrefu lazima mtu ukonde!

5. REPETITIVE INFECTIONS. Kupata maambukizo mbali mbali mara kwa mara. Mfano unapata typhoid kila miezi mitatu, au unaugua malaria kila mwezi, au unapata kaswende mara kwa mara, etc. Infections zenyewe tu pekee husababisha kinga kushuka. Na zikiwa repetitive inamaana kwamba utakuwa mtu wa kunywa madawa kila mara, na hayo madawa (drugs) nayo pia ni masumu yanayodamage immune system.

6. ARVs. Inasemekana (ofcourse mimi pia hii nimeishuhudia kwa wagonjwa wengi tu) kuwa matumizi ya ARVs ya muda mrefu huleta madhara. Wataalamu hao wanasema kuwa watu wanaotumia ARVs ambao wamefikia hatua za mwisho hupata matatizo yafuatayo;

(a) Matatizo ya moyo. Utasikia tu wakisema aah mgonjwa kafa kwa 'heart attack', au 'moyo ulipasuka' etc
(b) Matatizo ya Ini. Utasikia tu wakisema mgonjwa kafariki baada ya Ini kuwa na hitilafu, etc
(c) Matatizo ya Figo. Utasikia tu wakisema marehemu figo zake zilifeli, n.k
(d) Cancer/saratani yoyote ile. Kina mama mara nyingi hupata saratani ya kizazi. Kinamama wengi wanaotumia ARVs husumbuliwa na cancer hiyo ya kizazi.
(e) Anaemia/upungufu wa damu. Inasemekana kwamba wagonjwa wengi wanaotumia ARVs huongezewa damu mara kwa mara.
(f) Kisukari/Diabetes, mara chache.

N.B: We mwenyewe jaribu tu ku-research (yani google tu) on the 'side effects' of ARVs Drugs afu ujionee mwenyewe. ARVs zina 'severe/fatal' side effects !

PILI:

Kuhusu ANTIBODIES, yes HIV/AIDS supporters hiyo ndo 'basement' yao kuu. Yaani 'antibodies' ndo benchmark yao pekee. Wanacheck tu uwepo wa Antibodies fulani mwilini na kisha wana-confirm uwepo wa HIV mwilini. Eti wanaiita 'qualitative' method, and not quantitative! Sasa swali la kufikirisha huwa ni: JE, why walishindwa kumpima huyo HIV kwa muonekano/isolation (quantitatively) kabsa kama ilivyo kwenye Malaria, TB, Typhoid, n.k ????!!! Katika swali hili huwa wanatoa jibu rahisi tu kwamba... '' huyo kirusi (HIV) ni 'mjanja mjanja' sana, so it is never easy kumuona ''! heheheee.
This is why the denialists wanasema hivi vipimo vyote vya HIV/AIDS ni sawa na 'ramli' tu. Truly, huko 'site' kuna cases nyingi sana tu za FALSE POSITIVE, yani leo mtu anapima anakutwa ni HIV POSITIVE, afu surprisingly baadae akipima tena anakutwa ni NEGATIVE!!

NOTE: Medical experts (including hao hao HIV/AIDS Supporters) wanakiri kabisa kuwa kuna factors zingine (apart from HIV) ambazo pia zinaweza kusababisha mwili ku-release hizo 'antibodies' husika. Factors hizo ni pamoja na Mimba, Malaria kali, etc.

Kwakweli hili dubwasha 'HIV/AIDS' lina uncertainties nyingi mno which draw a wider controversy kuliko tunavyodhani au kuaminishwa. Kuna utata mwingi sana ambao kwakweli unafikirisha akili ya mtu yeyote mwenye udadisi. Really, with free mind, we have to double-click our folders of thinking on this 'deadly nightmare'.

- Kaveli-
 
Mie nadhani kwa uelewa wangu Huu ukimwi upo ila hicho kirusi hawajakijua japo maambukizi ni yale yale kujamiana, kutiwa damu ya muathirika, michubuko n.k..Issue iko pale pale, mana kama tatizo kukos lishe bora, kuna watu wenye pesa na wanatoka familia safi na wameugua hayo maradhi na unakuta baada ya kufa mume mke anafatwa n.k..na hata ukiangalia chain za mitaani tu kila alielala na flani anakuwa nayo hayo maradhi, nadhani UAMBUKIZWAJI UKIMWI UKO PALE PALE Ila hawajakijua hicho kirusi kinakaaje wala kikoje na ndio mana mpaka leo wameshindwa kukidhibiti. sabab hawajakipata.
 
Wewe unaonekana una nia ya kuelewa,napenda sana watu kama ninyi,sasa tuliza akili zako vizuri kabisa wakati unasoma haya ninayoandika.Najua @Kavel na Mish Albert wameelezea vizuri sana ila hawawezi kuelezea mambo yote kwenye post moja kutokana na upana/wigo wa suala lenyewe.

Sasa tuliza akili na usome hapa chini;

Waliotudanganya kuhusu HIV/AIDS wametumia akili nyingi sana kwa kuugawanya uongo huu katika nyanja kuu 4 zifuatazo;
1.Historia ya HIV/AIDS;
Wametumia vyombo vyao vya habari kurubuni akili za watu kwa kutangaza nadharia tofauti tofauti kuhusu wapi HIV/AIDS ilianzia huku kusudi lao lilikuwa kuwafanya watu walemae akili na wasijue chanzo halisi.Lakini ukweli ni kwamba hata hiyo HIV/AIDS yenyewe inayotungiwa nadharia hizo haipo kiuhalisia.HIV/AIDS ni ugonjwa wa matangazo tu,yaani matangazo haya yamerudiwa mara nyingi kwenye vyombo vya habari yakiambatana na picha za kutisha ili kuwaogopesha watu.Watu hawajui kwamba magonjwa yanayouwa watu hao wanaoonekana kwenye picha au mitaani/mahospitalini ni magonjwa yaleyale ya zamani yanayofahamika na yana tiba zake.Akili za watu zimetekwa na vyombo vya habari na haziwezi tena kufikiri tofauti na kile kilichotangazwa.

2.Nadharia ya HIV/AIDS;Kwamba ukimwi unasababishwa na HIV,na HIV huambukizwa kwa njia ya ngono,na HIV anaua na hana dawa.

Kwanza kabisa neno 'ukimwi' linaonekana kubwa sana na lakutisha kwa watu wengi kutokana na ukosefu wa uelewa.UKIMWI=Upungufu wa Kinga Mwilini.Sasa upungufu wa kinga kila mtu anaweza kuwa nao wakati wowote kwa sababu mbalimbali(lakini sio HIV).Na ukimwi huondoka wakati mwingine hata bila mtu kujijua,hata wewe na mimi inawezekana muda huu tuna tunaoandika humu tuna ukimwi.Ukiona mtu anaumwa malaria mara kwa mara ujue ana ukimwi,ukiona mtu anaumwa TB ujue ana ukimwi,lakini watu hawa wote wanatibiwa na kupona magonjwa yao na kuendelea na shughuli zao,LAKINI HAWANA HIV.Hivyo ukimwi umepata umaarufu kupitia vyombo vya habari,lakini hapo mwanzo(kabla ya kutangazwa HIV) wala watu hawakuujali na hawakuuzungumzia ukimwi kwa kuwa ukimwi sio kitu cha kutisha.Ukimwi ni hali tu ya kinga ya mwili kushuka,pia kinga hupanda kama mtu anabadili utaratibu wa maisha uliomsababisha kinga yake kushuka.

HIV hayupo na haambukizwi kwa njia ya ngono.Kwa maana hiyo kinachosababisha ukimwi wenzangu walishakizungumzia,si lazima nikirudie.

3.Vipimo vya HIV;Vipimo hivi ni feki,havipimi HIV kama watu walivyoaminishwa kupitia vituo vya afya na vyombo vya habari.Wenzangu walishalizungumzia hili pia,si lazima nirudie.

4.Dawa za ARVs;Wanasema kwamba ARVs ndio suluhisho pekee kwa sasa kuhusu HIV/AIDS.Sasa hapa ndipo matatizo yanapoanzia,kwa mtu mwenye uvivu wa kufikiri hapa ndipo tunapoachana njia,huyu kule na huyu huku,hivyo kuwa makini hapa.Nitazungumzia hili kwa kujibu maswali yako hapo juu kwenye bold.

Sasa watu wote ambao ni wagumu kuelewa kama tumedanganywa ujue ubongo wao umesharubuniwa kwenye nyanja hizo kuu 4 hapo juu.Tafakari nyanja hizo utajua tu.

Mtiririko wa mwongozo wa tafakari jinsi tulivyokubali kudanganywa kuhusu nyanja hizo 4:

-Kwanza kabisa mwaka 1984 wamekutangazia kuhusu janga ambalo linaonekana ni jipya duniani,janga hilo linaitwa Ukimwi(kumbuka nilikwambia ukimwi si kitu kipya).Wakasema ukimwi unaua.Wakaendelea kukudanganya kwa kutaja dalili za ukimwi huku zikiambatana na picha za kutisha kupitia vyombo vyao vya habari.(hapa wanataka kukuogopesha ili siku wakisema wamepata dawa basi uikimbilie hiyo dawa).

-Halafu wakakwambia kwamba ukimwi unasababishwa na kijidudu kiitwacho HIV.Wakaendelea kusema kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono na hana dawa.(fahamu kwamba,kati ya ndoa zote ambazo mmoja au wote wawili wamepimwa HIV+,basi ujue kwamba 90% ya ndoa hizo utakuta mmoja amepimwa HIV+ lakini mwingine ni HIV- halafu hata watoto utakuta ni HIV- na ndoa hii ni ya muda mrefu),hata wewe chunguza mtaani kwako lazima utakuta ndoa ya namna hii,hii inaonesha jinsi ndoa za namna hii zilivyo nyingi,lakini pamoja na hayo yote watu bado wanaamini HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono.

-Halafu wakaja wakakwambia kwamba wamepata njia ya kumpima HIV kwenye damu ya mtu.Vipimo hivi ndio njia pekee ya wao kupata watu ambao watatumia ARVs pale vipimo vitakapoonesha majibu ya HIV+.Kumbuka nilishasema vipimo havipimi HIV.

-Halafu wakaja wakasema kwamba wamegundua dawa za kurefusha maisha ziitwazo ARVs.Je,ni nani angependa kufa mapema pale atakapoambiwa kwamba ana HIV?Sasa unajionea mwenyewe jinsi hawa jamaa walivyozi set akili za watu ili zikubaliane na kile wanachokitaka wao.Kila mtu atakimbilia kula ARVs ili kurefusha maisha kwa maana HIV anaua na hana dawa nyingine kama tulivyoambiwa,pia hakuna mtu atakayebisha kwamba ana HIV wakati ameambiwa ni HIV+ wakati anapimwa,kwa maana ameambiwa HIV huambukizwa kwa njia ngono,na karibu kila mtu anajua kwenye nafsi yake kwamba alishawahi kufanya ngono.Yaani hawa jamaa wamepata watu wengi sana kwa kuwa kundi la wafanyaji ngono ni kubwa sana kuliko la wasiofanya ngono.Sasa ARVs ndizo zinazosababisha vifo kwa wale wanaozitumia.

Nitakujibu swali lako kwenye reply nyingine ili kupunguza urefu wa post yangu.Lakini ili unielewe majibu nitakayokupa,lazima kwanza uelewe reply hii.
 
Mie nadhani kwa uelewa wangu Huu ukimwi upo ila hicho kirusi hawajakijua japo maambukizi ni yale yale kujamiana, kutiwa damu ya muathirika, michubuko n.k..Issue iko pale pale, mana kama tatizo kukos lishe bora, kuna watu wenye pesa na wanatoka familia safi na wameugua hayo maradhi na unakuta baada ya kufa mume mke anafatwa n.k..na hata ukiangalia chain za mitaani tu kila alielala na flani anakuwa nayo hayo maradhi, nadhani UAMBUKIZWAJI UKIMWI UKO PALE PALE Ila hawajakijua hicho kirusi kinakaaje wala kikoje na ndio mana mpaka leo wameshindwa kukidhibiti. sabab hawajakipata.

1: ......japo maambukizi ni yale yale kujamiana, kutiwa damu ya muathirika, michubuko n.k..Issue iko pale pale....

HIV haambukizwi kwa njia ya kujamiiana kwa kuwa HIV mwenyewe hayupo kiuhalisia.HIV amepata umaarufu kutokana na vipimo vinavyosemekana vinapima HIV na pia vyombo vya habari.

Ili kuthibitisha hili,fuatilia mwenyewe mitaani utagundua kuna ndoa nyingi sana ambazo mmoja ni HIV+ na mwingine ni HIV- na watoto ni HIV-,sasa umeshawahi kujiuliza kwanini inatokea hivi?Au ndio na wewe utasema ni mipango ya mungu?

Pia kuna watu walijidunga damu kabisa ambayo watu wanaamini kwamba ni ya mtu mwenye HIV,lakini kila wakipima wanaambiwa ni HIV-.Je,hawa watu pia mungu amewaokoa eenh!

2:..........kama tatizo kukos lishe bora, kuna watu wenye pesa na wanatoka familia safi na wameugua hayo maradhi na unakuta baada ya kufa mume mke anafatwa.....

Kwenye reply yangu ya kwanza kabisa kwenye uzi huu nilishatoa angalizo kwamba,kula lishe bora hakuna uhusiano na mtu kuwa tajiri au mwenye pesa.Lishe bora ni vyakula rahisi sana na wala havihitaji pesa nyingi kuliko unavyofikiri,sasa nikwambie kwamba,kwa kifupi,matajiri ndio wanaokula vyakula vibovu zaidi ya masikini,tofauti ni kwamba wakati mwingine masikini huwa wanakosa kabisa pesa ya kununulia chakula,lakini wakipata utaona wananunu matembele(alkaline food),dona,dagaa(protein food),atachuma majani ya mchaichai,ataweka na bamia kidogo na nyanya chungu original,unaona mambo hayo?Sasa matajiri huwa hawali mambo haya mara nyingi,wao sanasana ni nyama(acidic food,mbaya sana hii),juisi za kwenye maboksi(aspartame=very acid food),atatumia microwave kupasha chakula=kuua virutubisho vyote vya chakula,atahifadhi chakula kwenye jokofu kwa muda mrefu=chakula mfu,na mambo mengi kama hayo.Hivyo kuwa na pesa sio kula chakula bora.

Suala la kufuatana kufa kwa ugonjwa mmoja au wenye dalili zinazofanana sio la ajabu kama unavyofikiria.Hebu tuliza ubongo na ufikiri tofauti na hapo utajua tu.

-Hivi kwani mme akiwa na TB halafu kila siku analala kitanda kimoja na mkewe kwa muda mrefu hata wewe unajua kwamba mkewe naye yuko hatarini kupata TB.Sasa mme akifa kwa TB halafu mkewe naye asipopata uangalizi naye baadaye atakufa kwa TB,hivyo watakufa kwa dalili zinazofanana.Je,unazijua dalili za TB?Dalili za TB ndio zilezile tulizoambiwa kwamba ni za ukimwi,nadhani sasa unapata picha,ndio maana nilishasema kwamba magonjwa haya ni ya zamani sana ila yamepewa majina mapya na nadharia mpya kwa lengo la kuuza ARVs.

-Hata ukifanya mapenzi na mtu mwenye TB mara moja tu unaweza kupata TB,unajua hilo?Sasa wewe utapata TB kwa njia ya hewa kutoka kwa mpenzi wako na utakuwa na dalili ambazo wewe umesharubuniwa kwamba ni za ukimwi na watakwambia kwamba ni ukimwi,halafu wewe utaamini hivyo kwamba mpenzi wako amekuambukiza kwa njia ya ngono wakati wewe umepata TB kwa njia ya hewa,he he heeee! haya mambo mazito kweli.

-Hivi wewe umeona wapi watu wanaugua ukimwi?Huwezi kuugua ukimwi kamwe,kama huamini basi muulize daktari yeyote yule atakwambia vivyo hivyo.Mtu hawezi kuugua ukimwi kwa kuwa ukimwi sio ugonjwa,ukimwi ni hali ya kinga tu kushuka na haisababishwi na HIV,bali watu huugua ugonjwa fulani unaofahamika tangu zamani baada ya kinga yake kushuka,na kama atapewa tiba sahihi lazima apone hata kama hatumii ARVs.Fanya utafiti wako utajua tu.

-Unajua nilichokiona kwa watu wengi ni kwamba,watu hawaelewi na hawatambui kile wanachokiona kwa macho yao.Wakiona mtu kakonda,anaharisha,ana homa mara kwa mara nk na mwenzi wa huyo mtu naye vivyo hivyo,basi watasema kwamba ni HIV bila kujua undani wake.Nilichokiona pia ni kwamba watu wengi hata hawafanyi uchunguzi zaidi ya kubeba kile walichokiona na kuambiwa tu,ukichunguza utagundua mambo mengi sana,hivyo nakushauri,ukiona mtu anaumwa sana basi nenda kafanye uchunguzi wako ujue anaumwa ugonjwa gani,lakini usikimbilie kusema tu kwamba anaumwa ukimwi,ukimwi sio ugonjwa.

3:....ukiangalia chain za mitaani tu kila alielala na flani anakuwa nayo hayo maradhi, nadhani UAMBUKIZWAJI UKIMWI UKO PALE PALE....

Nilishajibu hili hapo juu,wewe hujafanya uchunguzi,fanya uchunguzi,usichukulie mazoea ya kile ulichoambiwa,haya mambo hayako hivyo kama unavyodhani,ukiangaziwa kukubali kufanya uchunguzi tu basi ujue umeshajua ukweli,tatizo la watu wengi ni wagumu kuamua kuchunguza.

Ukimwi sio tatizo,tatizo ni akili zetu/mindset zetu,hatuelewi kile tunachokiona kimesababishwa na nini.

Hata wewe unajua na unawafahamu watu wengi waliowahi kutembea na watu wanaosadikika kuwa na huyo HIV tena bila kutumia kinga lakini hawajapata huyo HIV.Lakini pamoja na hayo watu haohao bado wanaamini kwamba HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono ila wao mungu ndio amewaokoa,he he heee,hili ni tatizo kubwa kwa kweli,hawa jamaa wamejitahidi sana kuusuka uongo huu.

Mwisho,haya yote ninayoyasema nina ushahidi nayo,sizungumzi tu kutoka hewani,nimeshafanya uchunguzi/utafiti.

ANGALIZO:
Kwanini nasema ARVs(na si HIV) ndizo zinazowaua watu wanaozitumia?Yaani ilipaswa tuseme ARVs/AIDS badala ya HIV/AIDS.

-Zile zinazoitwa side effects za ARVs kiukweli sio side effects na badala yake ni direct effects,hii ni kwasababu waliotengeneza ARVs walidhamiria ARVs zisababishe matatizo hayo,ARVs ni DNA chain terminator,hakuna anayeweza kuishi kama atatumia ARVs kwa muda mrefu,mwishowe lazima zimuue.

-Ukitaka kujua madhara ya ARVs basi fanya yafuatayo:
1.Ingia kwenye website hii hapa,web hii sio yangu mimi,bali ni ya walewale waliotengeneza hizo ARVs,yaani hata wenyewe wanakubali kwamba ARVs zina madhara haya,na madhara haya ndio yanayoua,sasa ingia hapa halafu soma WARNING:Hapa wameelezea dawa moja tu,lakini ukifuatilia dawa zote za ARVs utakuta zina madhara hayohayo.

http://aidsinfo.nih.gov/drugs/290/tenofovir-disoproxil-fumarate/0/patient

2.Fuatilia ndani ya kikopo cha ARVs kuna karatasi imekunjwa,kunjua karatasi hiyo na uisome kwa umakini mkubwa utaona madhara yake yanafana na ya kwenye website niliyoweka hapo juu.

3.Kama bado huamini,basi fuatilia mahospitalini au mitaani kwa wale wagonjwa waliozidiwa ambao wanatumia ARVs.Utakuta wana dalili hizohizo zilizotajwa hapo juu.

Sasa kama ulikuwa hujui,kile unachokiona kinadhoofisha watu na kuua watu wanaotumia ARVs ni ARVs zenyewe.Na kama mtu amedhoofika lakini hatumii ARVs basi ujue anaumwa ugonjwa unaofahamika na kama atapewa tiba sahihi lazima apone na kuendelea na shughuli zake kama kawaida.

-Najua ulishawahi kuona mtu anayetumia ARVs ana matatizo yafutayo;
1.Matatizo ya moyo/presha,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
2.Matatizo ya Ini,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
3.Matatizo ya figo,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
4.Matatizo ya upungufu wa damu,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
5.Cancer yoyote ile,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
6.Kisukari,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
7.Nywele zimedhoofika au kunyonyoka,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs.
8.Ngozi kufubaa au kuwa na vipele au vidonda,wewe utaambiwa ni HIV lakini ukweli ni kwamba ni ARVs....nk.

Sasa tumia werevu hapa,matatizo hayo yote hayasababishwi na vijidudu na hasa huyo HIV,hata madaktari wanajua hilo.Sasa jiulize,kila mgonjwa anayetumia ARVs mwisho wa siku anapata moja au kadhaa kati ya matatizo hayo,na matatizo hayo ndio yanayowaua.Sasa matatizo hayo yanasababishwa na nini?

Jibu lake ni,yanasababishwa na ARVs.

Watu wanachukia HIV na kukimbilia kula ARVs bila kujua kwamba ARVs ndio ugonjwa wenyewe.Tunaruka maji,tunakanyaga moto,yaani kama kenge anavyokimbia mvua na kuingia mtoni.Watu wakijua haya watajilaumua sana kwa nini hawakujua tangu mwanzo.

Hivyo basi,mtego mkubwa uko kwenye vipimo,kwa maana vipimo ndio hutafuta wateja wa ARVs.Halafu watu wakianza kutumia ARVs mwisho wa siku hufa kwa madhara yake halafu anasingiziwa HIV(ambaye ni hewa/hayupo),yaani kama wewe ukifanya dhambi kwa tamaa zako halafu unamsingizia shetani.

Tulia,dadisi,hoji,uliza,fanya utafiti.Huu ndio ukombozi wako pekee kwenye suala hili.
 
Hii dunia kila kitu tunadanganywaa,sasa watu hicho kirusi huitwaje au maana Kuna ndungu yangu aliugua na hakutaka kabisa kutumia Arvs na alifariki au alikua anaumwa kingine hakujua,lakin alipimwa akaambiwa Ana HIV,kwa hiyo wanapunguza watu wafe ee
 
Rafiki yangu alitembea na wanawake 40 bila kondomu akapimwa hakuwa na hiv wala ukimwi:-X
 
Back
Top Bottom