Ukimwi bado ni janga na hakuna dalili za upatikanaji wa dawa halisi ya kuutibu

Annointed

Member
Oct 13, 2011
46
8
Tarehe moja mwezi wa kumi na mbili ilikua tunaadhimisha siku ya Ukimwi Dunian,Kutokana na madhara yake kwa jamii kwakweli Ukimwi bado ni tishio na mbaya zaidi ni pale panapokua na matumaini F ya kupata tiba yake.Kila siku zinazuka fununu na taarifa za uvumi tu but kiuhalisia tiba yake bado hivyo kama hujaathirika ni vyema ukaendelea kujikinga na kuchukua tahadhari kwa kiwango cha juu sana.
 
Back
Top Bottom