Ishi maisha yako acha kukariri mambo,Kwa hio yasipokukuta wewe means wengine hayawakuti au hayapo kabisa?
we jamaa una masikhara! mi nimeishi Tanga mzee naandika vitu najua!
Ishu za zongo nazijua sana
ishu za vibwengo nazijua sana na vibwengo nishakutana navyo sana huko milima ya usambara korogwe huko
waulize wanaotokea mashewa huko kwa shambalai watakwambia!
waulize watanga watakwambia Maji Marefu ni nani...
kaka hujafa hujaumbika! kua uyaone