Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,892
Nakwambia ukweli,
Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana.
Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa
Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama wanaongea.
Utasikia File la kesi husika halionekani
Utasikia hakimu akiingia kwenye chumba cha kesi anabanwa na tumbo la kuhara.
Utasikia mashahidi wote wanakukana yani hatari tupu
๐ฆ๐๐๐ฅ๐ข ๐ง๐ ๐ฏ๐ข๐ฆ๐๐ฐ๐๐ง๐ ๐ ๐ฏ๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ก๐๐ค๐๐ฆ๐๐ง๐ข,
ukizinguana na mzigua huku uraiani kama kugombea shamba, basi hilo shamba halitokaa liivishd zao lolote lile!!
Mzigua kama alivyo Muha kutoka Kigoma, ana uwezo wa kulima shamba na akaivisha katika eneo ambalo ni makazi ya nyani, na hao nyani wasiguse shamba lake ๐ข๐ฅ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ข๐ซ๐๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐ค๐๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐ ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ
๐๐ณ๐ข๐ ๐ฎ๐, ukimuibia kuku, atakuacha umpike na umle! baada ya hapo atakufanyia kitu hutakaa usahau duniani. Kuku ataanza kuwika tumboni huko mpaka ukaombe msamaha!
Ukiishi Tanga huko uwe makini.
Mfano Handeni huko unaambiwa waganga ni wengi mno, kila baada ya nyumba 2, ya tatu ni ya mganga!