Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

Ulibahatika kununua shamba heka 50 ila kwa sasa umefanikiwa unalima “mpaka heka 60”....

Sawa.
Nini ambacho hijaelewa? Endapo nilinunua ekari 50 kwa mara kwanza inashindikana nini kulima ekari 60? Akili yako imeishia kwenye hamsini ukasahau 50+10 ni 60 na kuendelea, maelezo yangu yalijikita nilivoanza na ninachoweza kufanya kwa sasa. Lakini kumiliki shamba nina zaidi ya ekari mia moja kwa sasa, maeneo kwa mkono kijiji kinaitwa Kilawili, maeneo ya Kabuku panaitwa njia nne huko.
Wee kalia kuamini uchawi mwisho wa siku utaambiwa muuwe mamako ndo anayezuia mafanikio yako.
Huko wahindi wapenda miembe hii mifupi kwa maelfu, mteja mkuu ni Azam kwa nini wasiloge hiyo miembe isizae au walete nyani waje kuila? Endelea kuvaa hirizi kiunoni ili zikukinge
Ulibahatika kununua shamba heka 50 ila kwa sasa umefanikiwa unalima “mpaka heka 60”....

Sawa.
 
Nakwambia ukweli,

Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana.

Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa

Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama wanaongea.

Utasikia File la kesi husika halionekani

Utasikia hakimu akiingia kwenye chumba cha kesi anabanwa na tumbo la kuhara.

Utasikia mashahidi wote wanakukana yani hatari tupu

𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐦𝐛𝐰𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐯𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐤𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢,
ukizinguana na mzigua huku uraiani kama kugombea shamba, basi hilo shamba halitokaa liivishd zao lolote lile!!

Mzigua kama alivyo Muha kutoka Kigoma, ana uwezo wa kulima shamba na akaivisha katika eneo ambalo ni makazi ya nyani, na hao nyani wasiguse shamba lake 𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐉𝐢𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮

𝐌𝐳𝐢𝐠𝐮𝐚, ukimuibia kuku, atakuacha umpike na umle! baada ya hapo atakufanyia kitu hutakaa usahau duniani. Kuku ataanza kuwika tumboni huko mpaka ukaombe msamaha!

Ukiishi Tanga huko uwe makini.

Mfano Handeni huko unaambiwa waganga ni wengi mno, kila baada ya nyumba 2, ya tatu ni ya mganga!

View attachment 1946681
 
“Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama wanaongea.

Utasikia mashahidi wote wanakukana yani hatari tupu”

Hili ilitokea kizuani pale mashaidi hawaji kusikiliza kesi mpaka mamdogo kashinda
 
Tuelezee kidogo mkuu ilikuwaje!!
 
Nakwambia ukweli,

Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana.

Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa

Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama wanaongea.

Utasikia File la kesi husika halionekani

Utasikia hakimu akiingia kwenye chumba cha kesi anabanwa na tumbo la kuhara.

Utasikia mashahidi wote wanakukana yani hatari tupu

𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐦𝐛𝐰𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐯𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐤𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢,
ukizinguana na mzigua huku uraiani kama kugombea shamba, basi hilo shamba halitokaa liivishd zao lolote lile!!

Mzigua kama alivyo Muha kutoka Kigoma, ana uwezo wa kulima shamba na akaivisha katika eneo ambalo ni makazi ya nyani, na hao nyani wasiguse shamba lake 𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐉𝐢𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮

𝐌𝐳𝐢𝐠𝐮𝐚, ukimuibia kuku, atakuacha umpike na umle! baada ya hapo atakufanyia kitu hutakaa usahau duniani. Kuku ataanza kuwika tumboni huko mpaka ukaombe msamaha!

Ukiishi Tanga huko uwe makini.

Mfano Handeni huko unaambiwa waganga ni wengi mno, kila baada ya nyumba 2, ya tatu ni ya mganga!

View attachment 1946681
File la case linaliwa na mchwa, ubao wa kabati ukiwa salama salmini
 
File la kanali liliokotwa kariakoo sembuse kesi. Dunia ina mazingahombwe
 
Zamani niliamini bara hakuna uchawi kumbe ndio wachawi wakubwa kushinda huku pwani ila kwa propaganda wametushinsa
 
Back
Top Bottom