Ukimpenda Mtu acha kutanguliza vitu kuwa halisi wewe kama wewe

trisha cute

Senior Member
Dec 1, 2020
194
607
Habari

Leo nimeona niseme hii kitu mara nyingi kwenye mahusiano tuna mitazamo tofauti mwingine upendo kwake mpaka apewe attention, mwingine pesa nk

Lakini binafsi yangu naona upendo nikupenda mtu kwa dhati na uhalisia lakini kwa sasa naona suala hili limekua tofauti kwa watu
Watu wengi hivi sasa wanathamin zaid vitu kuliko kitu kingine na kusahau kuwa VITU HAVINA NGUVU YOYOTE KATIKA MAPENZI BALI UPENDO WA KWELI

Mfano mzuri ni hiki kilichomkuta Sarah huyu dada sijui nimuiteje lakin let me guess nimuite wa KUKURUPUKA MWENYE UZENZENZEE aliamin mapenzi ni kitu akawa anatumia nguvu ya pesa kwa Harmonize na kuamin amemteka pasipo kujua upendo nini

Nb. Tupendane kwa dhati na kwa uhalisia wewe mdada/kaka unapokuwa na mtu kuwa halisi acha kutumia nguvu ya pesa kumvuta yoyote na hii pia iwe fundisho for both sides TUACHE KUJITUTUMUA TUWE HALISI KWENYE MAHUSIANO

JE UHALISIA WAKO WEWE NI UPI UNAPOKUA NA MTU AU NDIO UNAAZIMA MAGARI NA MPAKA KUKOPA PESA ILI UJITUTUMUE?

#SHARE UR EXPERIENCE
Screenshot_20201204-233547_1607114243230.jpg

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo zile invoice huwa mnatutumia mara tu baada ya kutoa namba huwa zinakuwa za nini?
 
Habari

Leo nimeona niseme hii kitu mara nyingi kwenye mahusiano tuna mitazamo tofauti mwingine upendo kwake mpaka apewe attention, mwingine pesa nk

Lakini binafsi yangu naona upendo nikupenda mtu kwa dhati na uhalisia lakini kwa sasa naona suala hili limekua tofauti kwa watu
Watu wengi hivi sasa wanathamin zaid vitu kuliko kitu kingine na kusahau kuwa VITU HAVINA NGUVU YOYOTE KATIKA MAPENZI BALI UPENDO WA KWELI

Mfano mzuri ni hiki kilichomkuta Sarah huyu dada sijui nimuiteje lakin let me guess nimuite wa KUKURUPUKA MWENYE UZENZENZEE aliamin mapenzi ni kitu akawa anatumia nguvu ya pesa kwa Harmonize na kuamin amemteka pasipo kujua upendo nini

Nb. Tupendane kwa dhati na kwa uhalisia wewe mdada/kaka unapokuwa na mtu kuwa halisi acha kutumia nguvu ya pesa kumvuta yoyote na hii pia iwe fundisho for both sides TUACHE KUJITUTUMUA TUWE HALISI KWENYE MAHUSIANO

JE UHALISIA WAKO WEWE NI UPI UNAPOKUA NA MTU AU NDIO UNAAZIMA MAGARI NA MPAKA KUKOPA PESA ILI UJITUTUMUE?

#SHARE UR EXPERIENCE View attachment 1641873

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Bila kujitutumua utawapata akina ebitoke tu hapa Daslamu 😂!!!

Mtoto mrembo kama Officiallyn umtangulizie sentensi kuwa huna mchongo utaponea wapi ndugu yangu.😁
 
Back
Top Bottom