Mwanamke bikra ana heshima yake,ingekua kuna alama yakujua bikra bila kutongoza, wanaume wengi tungeoa bikra, used wangekosa dili.
 
Nina mpenzi bikra ila geti kali sana. Nina mwaka sasa nabembeleza kukata utepe bila mafanikio (napigwa sana kalenda). Anatamani sana aje nimbikiri ila muoga wa maumivu, bembeleza sana na ongopa sana ila bado sijaeleweka. INACHOSHA SANA
 
Kwema Wakuu!!

Binti wa kuanzia miaka 18 kuendelea ni Mkubwa na anaweza kubeba majukumu Kama Mama, tofauti na Sisi wanaume ambao mpaka walau tufikishe miaka 25-27.

Ukibahatika maana ni bahati kukuta mwanamke Bikra mwenye umri wa miaka 18kuendelea Kwa Zama zetu.
Ukikutana na Mwanamke WA hivyo oa upesi.
Utakuja kunishukuru.

Hakuna Raha Kama ukutane na Mwanamke Bikra alafu uwe First love wake. Utakula maisha mpaka ukome.
Ninauzoefu na Jambo hili. Na wapo waliofuta ushauri wangu ni mashahidi. Wanakula Raha za maisha.

First love ndio mapenzi halisi, ndio upendo halisi
Kikawaida mwanamke Hapendi mara mbili.
Kikawaida mwanamke hapelekeshwi mara mbili.

Mwanamke akishatendwa na Mpenzi wake wa Kwanza hawi tena Kama alivyokuwa, upendo wake unashuka Kwa zaidi ya 50%.

Lakini ukiwa WA Kwanza atakupenda Kwa 100%.

Watu wengi wanasema wanawake ni wabinafsi na pesa Yao hailiwi, ni kweli Kama wewe sio First lover wa uliyemuoa lazima awe mgumu kwenye kukupenda Kwa moyo wake wote.

Najua kuna watu watabisha, lakini huo ndio ukweli. Hata wanawake wenyewe wanalijua hili.

Mwanamke anaumizwa mara moja tuu kwenye mapenzi, tena anaumizwa na Mpenzi wa Kwanza. Maumivu ya Mpenzi wa kwanza ni OG Kwa Asilimia 100% lakini wewe mwenzangu na miye sijui wakumi huko umuacha ataumia kidogo tuu.

OA mwanamke Bikra utakuja kunishukuru
Nakataa hakuna cha 100% wala 50. Ukifuatilia hao wanawake wanaotolewa bikira wengi wao ni tamaa zao wenyewe. Kwa hyo siwezi sema ni mapenzi ya kweli kwa pande zote mbili.
Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli bikira sio kigezo bali ni sehemu tu ya safari yake ya mapenzi tena hao bikira ndo wakipata chance ya kutoka kidogo tu basi sahau.
Ingekuwa dini inasema oeni wanawake bikira hapo sawa lakini imesema tuone wanawake wenye dini.
 
Huo ndo ukweli Mimi sitaoa had nipate mwanamke bikra , ninae dem ananipenda sana hata kuwe na mvua atanitafuta bila kujali ananyeshewa kias gan lakin sijamkuta bikra Mimi sina mapenzi nae kwakua najua tayari alishapendana na mtu mwngne kabla yangu had akakubal kumpa bikra mi naona ni kama ananiigizia kunipenda tu sina malengo nae yoyote sijawahi kuanza kumtafuta kwa sms wala kumpigia simu siku zote anaanza yeye
ila nikikumbuka sijamkuta bikra namchukia balaa maana nilitegemea ntamkuta bikra maana ni mtt wa dinidini sana
Ana miaka mingapi?
 
Wew ndo fala Sasa Kama hujamkuta bkra na unamchukia Si umteme tu usimpotezee mda wake

Kuna majaamaa mingese Kama wew
 
Kwema Wakuu!!

Binti wa kuanzia miaka 18 kuendelea ni Mkubwa na anaweza kubeba majukumu Kama Mama, tofauti na Sisi wanaume ambao mpaka walau tufikishe miaka 25-27.

Ukibahatika maana ni bahati kukuta mwanamke Bikra mwenye umri wa miaka 18kuendelea Kwa Zama zetu.
Ukikutana na Mwanamke WA hivyo oa upesi.
Utakuja kunishukuru.

Hakuna Raha Kama ukutane na Mwanamke Bikra alafu uwe First love wake. Utakula maisha mpaka ukome.
Ninauzoefu na Jambo hili. Na wapo waliofuta ushauri wangu ni mashahidi. Wanakula Raha za maisha.

First love ndio mapenzi halisi, ndio upendo halisi
Kikawaida mwanamke Hapendi mara mbili.
Kikawaida mwanamke hapelekeshwi mara mbili.

Mwanamke akishatendwa na Mpenzi wake wa Kwanza hawi tena Kama alivyokuwa, upendo wake unashuka Kwa zaidi ya 50%.

Lakini ukiwa WA Kwanza atakupenda Kwa 100%.

Watu wengi wanasema wanawake ni wabinafsi na pesa Yao hailiwi, ni kweli Kama wewe sio First lover wa uliyemuoa lazima awe mgumu kwenye kukupenda Kwa moyo wake wote.

Najua kuna watu watabisha, lakini huo ndio ukweli. Hata wanawake wenyewe wanalijua hili.

Mwanamke anaumizwa mara moja tuu kwenye mapenzi, tena anaumizwa na Mpenzi wa Kwanza. Maumivu ya Mpenzi wa kwanza ni OG Kwa Asilimia 100% lakini wewe mwenzangu na miye sijui wakumi huko umuacha ataumia kidogo tuu.

OA mwanamke Bikra utakuja kunishukuru
Na wote tuseme amen
 
100 /100
 
mmnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….

sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….

24+ kukutwa na bikira wachache mkuu

sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira
Sikuhizi wanazitoa na chupa za Pepsi n.k
 
Bikra kitu gani? Muhammad S.A.W Mtume wa Waislam mke wake wa kwanza kuoa hakuwa bikra na alimpenda sana tu....na alifikia kuwapa mfano wake zake waliofuata kwamba hawamfikii Khadija kwa ubora wa mke. Wakati mwingine usichunguze sana...jiulize wewe ni bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kama Mwamedi aliingia chaka nasisi ndio tuingie?
 
Back
Top Bottom